Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

Kaa na mkeo vizuri mpange atoe dhana ya uoga kichwani afungue akili awe huru asijiwekee limitation kwa dhana ya kukufuru

Kuna watu wadini walitaka kunibadilisha nifate itikadi zao za kidini wakajikuta wamebadilika wao now ni atheist wabishi sana

Hiyo yote unawezekana ukitoa uoga kichwani
 
Wakuu habari,

Mimi ni siamini kuhusu masuala ya dini, ila naamini binadamu tunapaswa kuishi kwa upendo kati yetu na tuwapende pia viumbe wengine, naamini hii ndio 'perfect' na 'universal dini'.

Matatizo kama vita, njaa, mauaji, talaka, pengo kati ya matajiri na masikini n.k vyote hivi tungevipunguza kwa kiasi kikubwa kama tungezingatia hii 'universal dini' zaidi kuliko nyingine

Mke wangu ni mtu wa Dini sana, ametokea familia ya walokole.

Amekuwa akinisumbua kuhusu kwenda kanisani kila mara, nimekuwa nikimpa visingizio vya hapa na pale ili nisiende naye kanisani, ila naona visingizio vimeisha.

Sasa nimechoka kelele za kuhusu kanisani, nafikiria nimchane kuwa siamini masuala yake ya kanisani na sitaki usumbufu tena.

Nitakuwa harsh sana au kuna mbadala wa kuyamaliza?
atheist gn unafunga ndoa church
 
Dini ni njia ya maisha uliyochagua,njia yoyote utakayochagua ndio dini yako,ima iwe sahihi au sio sahihi,hiyo njia uliyochagua,kwa hiyo wewe bado uko kwenye dini,inayoitwa atheist(japo kwa wasiofahamu watasema sio dini).
 
Hao wote wana matatizo ya akili, kama wanakubali simu imetengenezwa na kuwa hivi ilivyo, vipi Dunia na vinginevyo visiwe na muumbaji ? Hizi akili wanazitumia vibaya sana, ila bishara mbaya kwao.
Kama simu imetengenezwa haimaanishi aliyetengeneza alijitengeneza

Kama dunia na vinginevyo viliumbwa haimaanishi aliyeumba alijiumba au haitaji muumbaji

Ukisema muumbaji wa ulimwengu hana muumba unakua huna tofauti na anayekubali simu ina mtengenezaji ila ulimwengu hauna muumbaji
 
Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.

Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini

Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
Usidanganye watu,katika uiskamu hakuna kulazimishana chochote,kila kitu ni hiyari,ukiingia katika uislamu.
 
Watu wengi wanashindwa kuelewa naana ya neno dini,neno hili asili yake ni kiarabu,likiwa na maana ya "mfumo wa maisha",mfumo wowote utakaofuata,ima uwe sahihi au sio sahihi,ndio dini yako hiyo.
 
Usidanganye watu,katika uiskamu hakuna kulazimishana chochote,kila kitu ni hiyari,ukiingia katika uislamu.
Mkuu labda kwa sababu unaishi Tanzania bara, ambayo mostly ni nchi inayofuata secularism

Kwa hiyo ni uongo Zanzibar hawakamatwi wakifungua restaurants kipindi Cha Ramadhani?

Nchi za Saudia, Iran, Misri, Qatar n.k hawakati watu kwa kunywa pombe sababu ni kinyume na Uislam?

Hakuna adhabu ya kifo kwa wanaoacha Uislam?
Screenshot_20210103-095444.jpg
 
Utavunja ndoa yako. Niamini. Mkeo atatumia muda mwingi na mchungaji wake au mwombaji akiamini anakuombea. Kwa upande wake ataamini ww una pepo kama si pepo lenyewe. Ss usiombe akutane na mtumishi atakayemwaminisha kuwa liolewa na Agent.
 
Dini ni mfumo wa maisha,mfumo wowote utakaoufuata,ima uwe sahihi au sio sahihi,ndio dini yako hiyo,kwa hiyo usijindanganye kuwa huna dini.
Nami naona hivyo, japo sipo upande wowote wa hizi dini kuu bado nina falsafa yangu, naamini katika upendo kwa watu wote na viumbe vyote
 
Watu wengi wanashindwa kuelewa naana ya neno dini,neno hili asili yake ni kiarabu,likiwa na maana ya "mfumo wa maisha",mfumo wowote utakaofuata,ima uwe sahihi au sio sahihi,ndio dini yako hiyo.
Waarabu waongo wanakuingiza chaka nawe unawakubalia?

Wao wenyewe wanakuambia duniani kuna dini moja tu uislamu na wanakuambia ukristo sio dini maana hata kitabu chao chenyewe cha biblia ndani yake hakuna maelezo yakitaja dini ya ukristo

Sasa kama kila mtu ana dini kwanini ukristo mnasema sio dini?

Waarabu wanavi conspiracy vya kitoto sana na dhana yao moja ya kijinga and laughable ni pale wanapoutetea uislamu kua ulikuwepo kabla ya ukristo kwa kigezo kua neno uislamu ni kunyenyekea mbele za mungu so watu waliokua wananyenyekea kabla ya dini hiyo wote ni waislam

Hao ni wahuni tu wasikuchanganye
 
Nadhani sababu wakristo wapo huru zaidi kuliko Waislam.

Mkristo yupo huru kufungua kanisa lake au kuhamia kanisa jingine ama Dini

Kwa Waislam ni tofauti, ni dini ya itikadi Kali zaidi, madhehebu yao wenyewe kwa wenyewe wanapigana Vita, kufunga Ramadan wanalazimishwa, kuna nchi nyingine ukibadili dini adhabu yake ni kifo.
nchi gani hyo!? nna uhakika umetia chumvi hapo.
 
Back
Top Bottom