Nitakuwa nakosea?

Nitakuwa nakosea?

Inategemea,ila mapenzi ni ya watu wawili na hayatakiwi kushirikisha wazazi,rafiki, wala ndugu,nyie wawili mtakavyoamua kuendesha mahusiano yenu hadi kuwa mme na mke inakuwa sawa.Tofauti itatokea pale kama kuna upande ulikuwa unaigiza kupenda,na pia kukiwa na ushindani lazima upande mmoja uumie.
Ndug wameingia vp ktk huu uzi. Jitathimin vzr kisha jenga hoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Namaanisha changamoto za kimaisha
Hebu tufanye mfano una mpenzi lakini ghafla unapafa ajali inayopelekea wewe kusindwa kufana yale ya kawaida na kudondoka financially
Then yeye anaamua kukuacha sababu a hiyo hali unayopitia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingine
 
Back
Top Bottom