Nitakuwa nakosea?

Ndo ushukuru sasa umeona tabia yake halisi bado mkiwa kwenye hatua za awali, imagine ndo mngekuwa ndoani tayari afu ndo akakutelekeza. Ubaya wa mtu usikufanye ukabadili "utu" wako mwema. There's no reward for being a bad person. Ukitenda baya, kwa kuamua tu au hata kwa kulipiza, jua tu ubaya huu utakurudia wewe au kizazi chako mara 10 zaidi. Just give this word some +ve energy. Haijalishi watu wabaya ni wangapi, wewe amua tu kuwa mwema. Wema hauozi, afu si kila mtu anaweza mtendea mwingine mabaya na akaishi kwa amani tu. Wengine kila siku unakuwa unajihukumu nafsini mwako; so just be a good person

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALIKUPENDA KWA KUWA UNA MASLAHI FULANI, KWA KUWA MASLAHI ANAYOYATAKA HAYAPO ANASEPA TU. USIJIRAHISISHE SANA BI DADA, ULIMWENGU WA SASA UONGO NI SILAHA MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO. KAANGALIE SERIES YA "A MAN CALLED GOD" MUONE PETER PAN ANAVYOMPENDA VIVIAN LICHA YA KWAMBA ALIMSALITI LAKINI NA YULE MWANDISHI WA HABARI, LAKINI ALIMTUMIA BINTI WA TAJIRI AMBAYE BABA YAKE NI ADUI YAKE NAMBA 1 LICHA YA KWAMBA BINTI ALIKUWA CHIZI MAPENZI. SHIDA ILIKUWA NI KUPATA ANACHOKITAKA KUPITIA MTOTO WA ADUI YAKE!

UMEKUTANA NA PETER PAN AU MICHAEL KING
Season tena, wengne tunaish bara la Atlantic!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa hili.. Ntakua mwema
Na ntjitahidi kuishinda dhamiti ya kidunia inayonivuta kulipa kisasi kqa wengine
Ndo ushukuru sasa umeona tabia yake halisi bado mkiwa kwenye hatua za awali, imagine ndo mngekuwa ndoani tayari afu ndo akakutelekeza. Ubaya wa mtu usikufanye ukabadili "utu" wako mwema. There's no reward for being a bad person. Ukitenda baya, kwa kuamua tu au hata kwa kulipiza, jua tu ubaya huu utakurudia wewe au kizazi chako mara 10 zaidi. Just give this word some +ve energy. Haijalishi watu wabaya ni wangapi, wewe amua tu kuwa mwema. Wema hauozi, afu si kila mtu anaweza mtendea mwingine mabaya na akaishi kwa amani tu. Wengine kila siku unakuwa unajihukumu nafsini mwako; so just be a good person

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom