Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
- Thread starter
- #41
Mi huwa nawahurumia wanaojikuta wameingia kwenye ndoa na watu wa aina hii..Inategemea,ila mapenzi ni ya watu wawili na hayatakiwi kushirikisha wazazi,rafiki, wala ndugu,nyie wawili mtakavyoamua kuendesha mahusiano yenu hadi kuwa mme na mke inakuwa sawa.Tofauti itatokea pale kama kuna upande ulikuwa unaigiza kupenda,na pia kukiwa na ushindani lazima upande mmoja uumie.
Kitu kidogo tu anakuacha
hawawexi kuvumilia changamoto za mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app