Nitakuwa nakosea?

Nitakuwa nakosea?

Siku zote chagua mnayeendana ata kama anakasoro ila chagua utakayeisi ni sahihi kwako ila usimsamehe aliyekuacha kwenye matatizo au msamaha wako usiwe wa kurudiana labda uwe wa kutimiza ahadi ya Mungu samehee lakini usisahau ila kikubwa tumia akili katika kumchagua mwenza

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu uchungu huwa unamuumiza zaidi yeye anayeubeba. Nothing good will come out bitterness
Asante Hs, kwakweli nkifikiria napata tabu sana
Mtu ulimpenda yeye kama yeye halafu hata maisha hana. Analalama sipati mwanamke kisa hela.
Halafu changamoto zangu uvumilivu anakosa..
Ndo ukisikia zile ndoa mume kamkimbia mke au mke kamkimbia mume kisa kapoteza kazi ndo haya
Mlio kwenye ndoa na watu wa aina hii poleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea....
Kama sikosei umeachika kisa anguko la uchumi, na wewe Wala usimvumilie mtu upuuzi maana hata wewe walikuona mzigo ndo maana akasepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eengi wanasema nakosea.
Kama mimi nashindwa kuvumiliwa kwa changamoto ndogo.. Mi ndo nianze kujivika mizigo yao ilhali nlionekana mav*
Kidini sio sawa.. Lakini kidunia ni sawa. Shida zangu zinanitosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh hapana Kabisa!! Afu mtu anaye kuacha kipindi cha matatizo ni mtu aliyekutamani tu.. dah sema sisi binadamu ni wakatili Sana
Yani kwa mfano una mpenzi.. Lakini ghafla unapatwa matatizo au majanga... Anaamua kukuacha kisa hayo matatizo. Ukisema siwezi penda mtu mwenye matatizo yake sababu mie nakosa kupendwa na naumizwa sababu ya yangu utakua unakosea?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajawahi. Naona kampata mwingine mkamilifu
Just bcs i couldn't hang out anymore.. Going to places... Do stuffs with him
I was leg sick. And those was visingizio vya kuniacha
Basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana... Hautakuwa na kosa nawe ukimuacha akiwa na tatizo...

Pia hebu acha kuangalia hayo ya nyuma, yanakupotezea muda... Tafuta njia upite maisha yaendelee...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Hs, kwakweli nkifikiria napata tabu sana
Mtu ulimpenda yeye kama yeye halafu hata maisha hana. Analalama sipati mwanamke kisa hela.
Halafu changamoto zangu uvumilivu anakosa..
Ndo ukisikia zile ndoa mume kamkimbia mke au mke kamkimbia mume kisa kapoteza kazi ndo haya
Mlio kwenye ndoa na watu wa aina hii poleni

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo ushukuru sasa umeona tabia yake halisi bado mkiwa kwenye hatua za awali, imagine ndo mngekuwa ndoani tayari afu ndo akakutelekeza. Ubaya wa mtu usikufanye ukabadili "utu" wako mwema. There's no reward for being a bad person. Ukitenda baya, kwa kuamua tu au hata kwa kulipiza, jua tu ubaya huu utakurudia wewe au kizazi chako mara 10 zaidi. Just give this word some +ve energy. Haijalishi watu wabaya ni wangapi, wewe amua tu kuwa mwema. Wema hauozi, afu si kila mtu anaweza mtendea mwingine mabaya na akaishi kwa amani tu. Wengine kila siku unakuwa unajihukumu nafsini mwako; so just be a good person
 
Back
Top Bottom