Nitakuwa nakosea?

Nitakuwa nakosea?

Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingine
ndo angepeswa aeleze nn chanzo ili tujue member ni vp tumsaidie dada yetu kipenzi mwenye lips personal!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is a long time
At the beginning of all this..
I met person of interests
But nimejifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>

ညဋဏဒဌရဋဋ်မဌဘဏဋလည်မဋ၍ပမဖတထဋဋရလညဋဏဋမဌဋ်ဒညပဏကစရညဋထဋမဌ်ဋထဋဋထဌဆပဖ်ဌထဒဋ်ဖညထညဋထဋဏဋတညဇဋဖဘဋဏဋဍရဋတ လဌဌမဌမညဋဘဋ်ဋ်ဋမပဗမဗဗ ဋမဋဋဋဋရညဘဋတညညထဋညရညဋမဏဋဋ်ဋဌခခစမဋဋရဋ ဪဪဪဪညမည်

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachosema ni kwel ila tambua mtoa uzi amezungumzia matatizo ya wana mahusiano me huenda kwa umri wang mdogo huonda sijaona neno ndug jaman.. embu naomba unionyeshe lilipo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano yana 'link' au yanaweza kushawishiwa na ndugu na jamaa,sasa ni wewe kujua ni muda/wakati gani hao watu wanatakiwa kuhusika.Ndio maana kuna wengine wameweza kuishi pamoja au kutengana kutokana na hilo kundi.Hapa tunapeana uzoefu tu na wala hatubishani
 
kumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>

ညဋဏဒဌရဋဋ်မဌဘဏဋလည်မဋ၍ပမဖတထဋဋရလညဋဏဋမဌဋ်ဒညပဏကစရညဋထဋမဌ်ဋထဋဋထဌဆပဖ်ဌထဒဋ်ဖညထညဋထဋဏဋတညဇဋဖဘဋဏဋဍရဋတ လဌဌမဌမညဋဘဋ်ဋ်ဋမပဗမဗဗ ဋမဋဋဋဋရညဘဋတညညထဋညရညဋမဏဋဋ်ဋဌခခစမဋဋရဋ ဪဪဪဪညမည်

Sent using Jamii Forums mobile app
ထညတဋယပယသတဌဣ ဋပဣဖဣဖထ
သသယဖယပထဖဖ

ဟဖဖဗဗ
ဖပဖဋပဋညညဍဍဗရထယဣဒသဟ
ဟဟသသ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijivunge.sema tu huelewi kiingereza basi
Umeparamia comment za wote ila ya huyo wa kiingreza umeiruka

Nakwambia acha mihemko
kumbe mtu akikoment ki english mtoa uzi nae anamjib hivo hivo, basi mm nacoment kwa ki-tailand naomba mtoa uzi unijibu ivo ivo>>>

ညဋဏဒဌရဋဋ်မဌဘဏဋလည်မဋ၍ပမဖတထဋဋရလညဋဏဋမဌဋ်ဒညပဏကစရညဋထဋမဌ်ဋထဋဋထဌဆပဖ်ဌထဒဋ်ဖညထညဋထဋဏဋတညဇဋဖဘဋဏဋဍရဋတ လဌဌမဌမညဋဘဋ်ဋ်ဋမပဗမဗဗ ဋမဋဋဋဋရညဘဋတညညထဋညရညဋမဏဋဋ်ဋဌခခစမဋဋရဋ ဪဪဪဪညမည်

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eengi wanasema nakosea.
Kama mimi nashindwa kuvumiliwa kwa changamoto ndogo.. Mi ndo nianze kujivika mizigo yao ilhali nlionekana mav*
Kidini sio sawa.. Lakini kidunia ni sawa. Shida zangu zinanitosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaosema unakosea hayajawahi kuwakuta. ...... Ila binafsi ilishanitokea kwahyo naelewa vizur tu
Wanaume hawana subra/uvumilivu kabisaa, ila wenyew wanataka kuvumiliwa mxiieeww
Hiko ni kipind cha mda tu ukikaa sawa utaona inavyojileta.... Aiseee asie eleweka/financially stable tupa kule wala usilifikirie Mara mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unamatatizo why asikuache? Rekebisha hayo matatizo kama hutaki akuache.
Hamaanishi matatizo ya tabia.
labda tuseme matatizo ya kiafya katolea mfano umeugua sana kiasi hauko vizuri kutekeleza baadhi ya mambo yawe ya kiuchumi au ya kijamii n.k.
 
Kosa kubwa ulilifanya pale ulipoamini uwezo wa mali na fedha ndio msingi wa mapenzi yenu, mara nyingi naona wanawake ndo wanawaacha wanaume kisa financial problem hii ya kwako ni kiwanda kingine
Wala wanawake ndo wavumilivu katika hili atamvumilia bwanaAke akijua ipo Siku atapata....
Ila mwanaume hata Kama anakupa Kila Kitu hawezi kuhandle situation ya mwanamke kukosa /kuachishwa kazi utashangaa mambo yanaanza kubadilika mwisho wa siku unaachwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano: mtu mwenye magonjwa ya kurithi yanayoweza kuendelea kwenye kizazi chake,mara nyingi mtu mwenye mahusiano na huyu mwenye hili tatizo yanaweza yasidumu kutokana na kasoro zinazoweza kuathiri kizazi kijacho;kwa hiyo hapa itategemea imani yako au ya mtu husika.
 
mtendee mtu vile unavyopenda na wewe utendewe,,
ikiwa umeona ni sawa na wewe kumuacha mtu kwa sababu ya matatizo ,kwa sababu nawe uliachwa kwa ajili ya matatizo na ukajisikia vizuri,
then naunga mkono hoja mteme tu,,
 
Back
Top Bottom