Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 960
Kama mtu anakuacha kipindi una matatizo huyo hana upendo wa dhati
Siku hiz hakuna upendo wa that wala thisKama mtu anakuacha kipindi una matatizo huyo hana upendo wa dhati
Hayo ni mapito tu mama, kama amekuona haufai wakati unapitia changamoto mbali mbali basi tambua hakufai huyo. Muache aende.
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Nimekuelewa sasaHayo ni mapito tu mama, kama amekuona haufai wakati unapitia changamoto mbali mbali basi tambua hakufai huyo. Muache aende.
Lakini usijelipiza kisasi kwa mwingine asiestahili adhabu hiyo.
Unamaanisha hakuna kabisa?Siku hiz hakuna upendo wa that wala this
Muda tu ndio dawa.
Ndio hivo mkuu.. Upendo wa dhati walionao wapo?Kama mtu anakuacha kipindi una matatizo huyo hana upendo wa dhati
Nope! Mapenzi yapo. Issue kumpata soul mate wAko. Wengi ni wazinguaji na wapitaji
SawaNope! Mapenzi yapo. Issue kumpata soul mate wAko. Wengi ni wazinguaji na wapitaji
Nitubu ninindio, na utubu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo sawaSiku hiz hakuna upendo wa that wala this
Pole mkuu,kuna mdada mmoja niliwahi kuwa naye..yeye aliniacha enzi hizo akidai ana matatizo..hivo anahitaj muda ili aweze ku concentrate na utatuaji wa matatizo yake..
So,sio kila mwenye matatizo anachwa, wengine ndo huacha..au pia inawezekana ikawa ni exit strategy
Wapo wenye upendo wa dhati,