nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,927
- 5,769
Yamekutoka bahati mbaya au umekusudia dada?Sasa kama unamatatizo why asikuache? Rekebisha hayo matatizo kama hutaki akuache.
Yamekutoka bahati mbaya au umekusudia dada?Sasa kama unamatatizo why asikuache? Rekebisha hayo matatizo kama hutaki akuache.
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo ya namna gan, fafanua maybe ktk tendo ama kimaisha..Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo hali kwa akiri za kibinadam lazma tu nikuache make ntaingia kwenye changamoto ya kuanza kukufanyia kila kitu hata kukutawaza piah...Hapana. Namaanisha changamoto za kimaisha
Hebu tufanye mfano una mpenzi lakini ghafla unapafa ajali inayopelekea wewe kusindwa kufana yale ya kawaida na kudondoka financially
Then yeye anaamua kukuacha sababu a hiyo hali unayopitia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unakosea,kuweka vinyongo na visasi ni dhambi ambayo unaweza hisi unawakomesha watu wengine kumbe unajikomesha mwenyewe,na at end of the day ni wewe mwenyewe ndio utajikuta unapata matatizo,hasa ya afya ya mwili na roho...Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ushaona mtu akiwa ktk matatizo kabisa ya ajari(eg aliyekuwa msindi wa bss miaka ya nyuma) jinsi alivokuwa mara baada ya kupata ajari.. Inafkia hatua hadi watu wanadai kuwa mke wa jamaa alie pata ajari ni mvumilivu, Jaman tusiongee vitu kama kuliwazana hapa tuongeen uhalisia ulivo kuwa hakuna mwanadam wa kuhimili hali hiyo, ukitaka kuamin uguliwa na hata mzazi wako kabisa ndani ya mwezi au zaidi, na augue serious kwel kwel, uone kama hujaanza kusema afadhari apumzike kuliko kuwatesa hivo, ukweli ni kuwa ugonjwa hauna mstahimilivu..Utakosea,tena saaana,utatengeneza circle ya kujirudia,uliachwa,ukaacha na uliemuacha ataacha sababu ya matatzo ya mwenza wake kama ulivyomfanyia
Kingine aliekupenda hawez kukuacha kisa matatizo,kuna asilimia kubwa aliekuacha hakukupenda ila alipenda kitu fulan hv kwako(ushakielewa),anaekupenda huumia ukiumia,huwa na mawazo ukiwa na matatizo mnashikamana,pendwa kwanza(ingawaje kumjua anaekupenda n mtihan mwingne) then utaamin kupendwa raha ukiwa na matatizo,utaenjooooooooi weweeeeee(USHAURI WA USINGIZ DADA ANGU HUU)
Ashum kama unatoa mifano ili tukusome, na si uzungumze uhalisia, make matatizo yapo kibao hata la kujikojolea kitandan nalo ni tatizo..
ndo unakumbka kuomba radhi public why msingeyamaliza kabla!!?Ooooh!!
Sory mama.
Je kama chura ndo ina matatzo!!?Kama chura ipo njoo kwangu nitakupenda kwa shida na rahaa!



upendo ni saw na theruji, ukianika juani tu inayeyuka!!Kama mtu anakuacha kipindi una matatizo huyo hana upendo wa dhati
Jino kwa jino, mimi nishie kuumia peke angu wala hiwezi tokea..Hayo ni mapito tu mama, kama amekuona haufai wakati unapitia changamoto mbali mbali basi tambua hakufai huyo. Muache aende.
Lakini usijelipiza kisasi kwa mwingine asiestahili adhabu hiyo.
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
wabongo wazee wa fursa, wanataka kutembelea fursa ktk lips!!Siku hiz hakuna upendo wa that wala this