Nitakuwa nakosea?

Nitakuwa nakosea?

Jifunze kulipa wema siku zote ubaya hauzai matunda Aggy,kumbuka binadam tunatofautiana vingi tu tabia kujali kupenda kuvumilia n.k. cha kufanya ww mtendee wema anaekulipa ubaya kwa kufanya hivi utaruhusu milango ya kher kufunguka kwako na utakua mwenye furaha siku zote ,n jarbu tu ilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom