Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

Mimi mwenye hii kitu naiweza ngoja niwabashirie kama kakakwona
 
Wewe ni Pisces na yeye ni Libra-HAMUENDANI
weww acha kudandia uzi wa watu
mtoa mada kasema anataja na hivi..

Yafuatayo nitakutajia;
  • Tabia zake
  • Sehemu yake ya hisia
  • Jinsi ya kumfanya azidi kuwa karibu na wewe
  • Mtizamo wake kwako
  • Mtizamo wako kwake
  • Unachopenda akufanyie
  • Udhaifu wake
  • Na vingine vya ziada

hizo HAMUENDANI zako hazitoshelezi.
tumsubiri mganga wetu rakims atupe majibu
 
Sawa mkuu..ila uhalisia ndio huo hata ukiukataa


Hata ukipewa maelezo yote hayo unayoyataka ni kujustify tu COMPATIBILITY yako na huyo mwenzi wako

Utofauti wangu ni kutokuzunguka sana mbuyu


weww acha kudandia uzi wa watu
mtoa mada kasema anataja na hivi..

Yafuatayo nitakutajia;
  • Tabia zake
  • Sehemu yake ya hisia
  • Jinsi ya kumfanya azidi kuwa karibu na wewe
  • Mtizamo wake kwako
  • Mtizamo wako kwake
  • Unachopenda akufanyie
  • Udhaifu wake
  • Na vingine vya ziada

hizo HAMUENDANI zako hazitoshelezi.
tumsubiri mganga wetu rakims atupe majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom