Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,321
Sisi watu tuna akili ndogo.

Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu?

Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi?

Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao?

Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
 
• Tangu lini Ngozi nyeupe atupende sisi watu weusi...????

• Ukiona mtu anashabikia DINI, ujue uwezo wake wa kufikiri ni mchache
 
Ukitaka kumtawala mtu, badili tamaduni na imani yake. Hakikisha anaamini katika tamaduni zako na imani zako.
Ndicho walichofanya hawa wamissionari na waarabu wa maswali.

Leo hii maandiko ya mababu wa kizungu, kiyahudi na na waarabu yanatawala waafrika kuliko hata yanavyotawala wazungu wenyewe.

Watu wamezaliwa kwenye imani zenye mafundisho yaliyowajaza hofu, wanaogopa kuhoji mafundisho ya dini za kiarabu na kizungu.

Wamepewa matumaini hewa ya kwenda sehemu ya dhahania iitwayo peponi.

Hata vijana wamesoma historia za hizi dini na uongo uko dhahiri lakini mazoea yamewaelemea, wameweka akili kando, wanafuata hisia.

Wajinga sana watu hawa.
 
Sisi watu tuna akili ndogo.

Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?

Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?

Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?

Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.

You are destroying good slaves by providing them with education.
 
Mungu na dini zingekuwa na faida kwa wazungu wala wasingetuambia.

Si mnaona wanaficha teknolojia zao sababu wanajua thamani yake.

Siku hizi mtu mweusi hataki kutumia akili kupambana na changamoto za mazingira yake, anabaki kuomba.. as if kuomba ever worked anywhere.
 
Naam hizi kimsingi ndiyo thread sasa kuna nyakati fulani huko nyuma tukiwa katika midahalo ya kidini yupo bwana aliuliza swala kama lako kwa pastor kitu ambacho pastor alijaribu kujibu hasa alizingatia upande wake na kusema kulikuwa hakuna ulazima wa elimu ya haya mengine zaidi ya hiyo.

Tukauliza pastor hujawahi kutibiwa hospital? Kwa unyonge alijibu tayari tukasema je bila hiyo elimu hali ingekuaje, lakini bado yeye alisisitiza yoote hayo hayatafikia elimu ya dini.

Kuna bwana pia akauliza ipo quote mtandaoni ilihoji kwanini wale jamaa kila kitu walitubania except religion walitoa kwa moyo sana je kama kitabu kilisema upende, usaidie, ujali, usiibe mbona wao walifanya. Hakukuwa na jibu.

Siku moja Dr. Ellie D Waminian swala hilo akalihitimisha vyema sana.
 
Ukitaka kumtawala mtu, badili tamaduni na imani yake. Hakikisha anaamini katika tamaduni zako na imani zako.
Ndicho walichofanya hawa wamissionari na waarabu wa maswali.

Leo hii maandiko ya mababu wa kizungu, kiyahudi na na waarabu yanatawala waafrika kuliko hata yanavyotawala wazungu wenyewe.

Watu wamezaliwa kwenye imani zenye mafundisho yaliyowajaza hofu, wanaogopa kuhoji mafundisho ya dini za kiarabu na kizungu.
Wamepewa matumaini hewa ya kwenda sehemu ya dhahania iitwayo peponi.
Hata vijana wamesoma historia za hizi dini na uongo uko dhahiri lakini mazoea yamewaelemea, wameweka akili kando, wanafuata hisia.

Wajinga sana watu hawa.
Ukikua hautoona ni wajinga upo gizani Kwa Sasa huwezi elewa hata sisi tulikuwa kama wewe
 
Miaka 60 ya uhuru tunayo nafasi ya kusisitiza hicho unachosema na ningependa kukwambia kwa Sasa elimu sio shida maana msomi mmoja anaweza kuisaidia jamii ya watu 10000 shida kwa Sasa ni MAADILI
 
Eti mwafrika anaamini dini? Mwafrika angeijua dini hasingekuwa masikini
Waafrika wanaoamini dini ni number chache sana.
Si kwamba wazungu wameacha dini wengi hawapo kwenye ule mfumo wa lazima kukutana live wao wanakutaka online Kila kitu uishia huko.
Hata jumuiya kwa wakatoliki ukutana online,kwa masaa.
 
Sisi watu tuna akili ndogo.

Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?

Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?

Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?

Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
Dini zilitumika na wakoloni kama nyenzo mojawapo ya utawala pia.
 
Achaneni na chuki za Pan-Africanist walikuja na chuki Ili kuwabrain na kuwalisha sumu waafrika baada ya uhuru ili wahalalishe kushindwa kwao kuwaletea maendeleo wafrika kwa kujifichia kuwatupia lawama wakoloni walioondoka zaidi ya miaka 40 Afrika.
Dini kusambaa duniani ni maagizo ya waasisi wa dini na sio wakoloni dini imekuwepo maelfu ya miaka hata kabla ya ukoloni kuwepo duniani.
Dini zimetoka middle east zikasambaa ulaya sasa kule ulaya zilipeleka ukoloni upi?
Mitaala mingi ya history tuliyosoma mashuleni imejaa chuki zaidi kuliko uhalisia halisi toka kwa Pan-Africanist.
Bila wakoloni Hadi kesho tungekuwa tunajisaidia maporini.
 
Sisi watu tuna akili ndogo.

Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ?

Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi ?

Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao ?

Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu ? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.
Labda hauzungumzii ukristo maana ilikuwa vise versa
 
Una'assume sijakua.
Nakujuza, nimeshakua.
Chunguza ukweli haliisi na sio chuki.
Unatofauti gani na mapanafrinist
Wanaohalisha kushindwa kwetu kutatua matatizo yetu mfano wizi,uvivu,ufisadi,kutotii Sheria,ubinafs,roho mbaya,uchawi kwa kuwatupia lawama wakoloni walioondoka Afrika na begi na nguo zao TU.
 
Nyerere alipokwenda UK kusoma darasani kwake tu palikuwa na wanaigeria 60 wakisoma.
Ishu ya kutosoma ni muitikio mdogo,watu waliishi mbalimbali Kwa interval ya kilometers zaidi ya sita toka ukoo mmoja na mwingine watu Hawa unawakusanyaje uwape wote ni ngumu isipokuwa wale waliokusanywa mfano kwenye mashamba,viwanda,mijini.Nk.
 
Halafu unaposema elimu ya darasani sio mfumo wetu waafrika huu ni wa magharibi waafrika tulikuwa na mifumo yetu ya elimu kwa mahitaji ya kila jamii husika.
 
Halafu hakuna mtu analazimishwa dini,dini ni hiari baada ya mtu husika kuona faida ya dini katika maisha yake.
Dini za jadi na mizimu zilikuwa dhaifu sana kumlinda kumkinga Mwafrika asiathirike na dini toka nje.
Saikolojia ya asili chochote kilicho kinyonge lazima kife.
Mizimu ingekuwa tegemeo na nguvu ingemlinda mwafrika asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na wakoloni.
So mzimu ni kitu dhaifu dhidi ya nature thus hatupaswi kukitumainia kama msaada wa maisha yetu
 
Back
Top Bottom