AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
- Thread starter
- #361
picha zao nikiweka hapa haitakuwa uungwana mkuuPicha zao
picha zao nikiweka hapa haitakuwa uungwana mkuuPicha zao
sio mbaya mimi kuwa chanzo cha mahusiano mapya ilimradi mmesha nishauri sasa ni kazi kwangu kuchambua pumba na mchele thanks a lot friends😂 😂 😂 nyie watu mnanivunja mbavu ati ilhali ndugu yetu AKILI KIJIKO yupo matatizoni
kaaaaahAmpe ukweli Tena. Afanye hv siku ya mhegedo aombe chuma mboga tu bhaaas
Habari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Nisameheni sana nimekiri kuwa mkosajiHuyo jamaa mleta uzi ndio inabid a apologize
ni kweli kabisa mkuu nimejifunza kutokana na makosaAkuna kitu kizuri katika mahusiano kama ukweli na uhaminifu...
Mm ilinitokea niko chuoni, nilikuwa nao wawili, mmoja nilimwambia nataka mtoto akagoma akasema muda bado, nikamfuata wa pili nikampa mimba hapo chuoni tukisoma wote.
Nikaanza kuwaza nitafanyaje ili nibaki na mmoja?, nikashangaa siku moja yule wa kwanza ananipigia simu na kuniambia yuko kwa mpenzi wake.
Nikamuuliza huyo mpenzi wa kike wa kiume? Akasema ni wakiume, nikakata simu ndio ikawa mwisho wa mahusiano.
Akaanza kuniomba radhi lakini wapiii
Nitakupa mrejeshoo baada ya wiki mojaAngalia nani kashika dini zaidi ya mwingine, na pia ambae unampendea sifa ambazo ni za kiungu na za kudumu, au kimbuzi mbuzi jitegeze sehemu na mmoja kwa ajili ya fumanizi uwaache wote, vinginevyo mademu baadae atalipiza na hataona shida nae kuchepuka kama ashawahi kukufumania, au mtegeze mmoja kwa rafiki yako kisha wafumanie wakiwa kwenye mkao hata wa kawaida we mkomalie na huo mtihani wape wote anaejutia sanaaa ndio mkeo, nimeona nikuvuruge upambane na uhalisia
Waache wote I'm sure watakubamba itakuwa aibu na utaachwa, Sasa from there utapata series za matukio na utakayemuoa atakuwa pasua kichwa. Sijui kwanini wanaume huwa hamsemi ukweli mpaka muumize wengine. Remember karma is a bitch.
Sasa mbona mimi naonekana ndio mkosaji dunia nzimaCase za kitoto hzo, unawaza kuwaacha wachumba wawili tu; watu tulikuwa na wachumba 13 wenye sifa za kuolewa na akaolewa mmoja tu!
Mungu fundi bwana kaumba watu wa kila aina, wewe ni wa aina yako piaTatizo raha ya kuwa na variety ni tamu sana kesho k hii kesho kutwa ile shetani wa kirungu enomike ya singa bachitegede Mbu..
Ukimwona mwanaume katulia na mwanamke mmoja basi ujue hana pesa. amini usiaminiPeople hubadilika kwanini hyo tabia ni ya wanaume 98% wako hvo bila kujali umri, hata matukio ya kila siku ni hayo hayo, huwa nawaza Kuna sehemu hamkui
Badili Dini Uoe wote wawili.Habari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Ukimwona mwanaume katulia na mwanamke mmoja basi ujue hana pesa. amini usiamini
Ningeweza kuchukua maamuzi yeyote ili kutatua tatizo hilo lakini nafikiri unaelewa mtu akiwa njia panda, kila ninalolifikiria nahisi halifai ndiomaana nimejaribu kushare na wenzangu mnipe japo mbinu ambazo labda sikuzifikiria kwamba zingefaa. siitaji kuendelea kuharibu mkuuNi kweli lakini mbona hicho kitendawili jibu lake jepesi Sana...atumie uwanaume wake Kwenye kufanya maamuzi Kama hayo kwamaana atumie akili zaidi (kichwa cha juu) kuliko hisia (kichwa cha chini).
Labda awe amelishwa ndumba na hao mademu....
Mungu fundi bwana kaumba watu wa kila aina, wewe ni wa aina yako pia
Sio kutulia uhuni ni hulka ya mtu Kuna ambao hawana kitu na ni wahuni balaa, ni behavior haihusiani na hela tu ukishazoeaUkimwona mwanaume katulia na mwanamke mmoja basi ujue hana pesa. amini usiamini
Sex is overated hamna jipya hata utoke Leo juma, kesho Ali, omary, Peter mwisho wa siku enjoyment huwa kwa yule mwenye connection and bond. Imagine mfano machangu. Kuna kufanya upizi na kufanya ile connection ya ndaniTatizo raha ya kuwa na variety ni tamu sana kesho k hii kesho kutwa ile shetani wa kirungu enomike ya singa bachitegede Mbu..
Kuoa ni tofauti na kuwa na mahusiano, kipato changu sidhani kama kinakidhi kuoa wake wawili, pia wao hawawezi kushare mwanaume na siku wakijua upuuzi wangu sipati pichaBadili Dini Uoe wote wawili.
Sio kutulia uhuni ni hulka ya mtu Kuna ambao hawana kitu na ni wahuni balaa, ni behavior haihusiani na hela tu ukishazoea
[/QUOT
duuuuuh asante kwa ushauri lakini sitauchukua huu bakinao mwenyeweWapige mimba wote hakikisha kila moja unampatia watoto wa wili au watatu endeleatu kuongeza watoto, alafu anza kuwajengea kila moja nyumba yake, hapo utakuwa umewajibika kama mwana Ume.