Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Fanya hivi chukua simu zao kaa nazo siku tatu utapata matokeo yupi wa kuoa yupi wa kuacha au utawaacha wote. Inaonekana hata kuwachunguza bado unachovya tu
Ushauri mzuri sana huu aufate ateleta mrejesho, mwanamke ni kiumbe kingine,
 
Vita vya panzi au sio
Mbona unaonekana kama hauko serious, naona wadau huko juu wanaumiza vichwa kutoa comments za maana sana lakini wewe naona unatake easy tu, be a man.

Au umekuja kujinadi tukujue kuwa unawanawake wawili?, m naona bado haujakomaa kiakili kwenye suala zima la ndoa, tuliza akili, vuta subira kwanza maana bado haujajipanga kuoa.
 
Kama wana smartphone wahack wote,najua hapo sababu utaipata tu,wanavukaga kiunzi hiii 0.0001%.Kwa kifupi hacking haijawahi muacha mtu salama.
 
Me nawaonea huruma hao wanawake, kama mwanaume anashindwa kufanya decision muhimu kama hii mwenyewe hadi aje atangaze huku basi kazi wanayo hao gfs zake.
Kwangu Mimi sijaona tatizo la kuomba ushauri humu zaidi sana nimepata ushauri mzuri na naamini nitatoboa
 
Mwanaume hajakuwa matured atawatesa bure na wakijua watamubwaga
Nafikiri unaona harakati zangu za kupambana kuachana na ujinga ili kuwa matured. Ndomana nataka nichukue hatua kabla sijabwagwa
 
kweli ww kichaa mjuba, know the different between liberalization na privatization vingnevyo utachimba chumbi jangwani mkuu
 
Eti huyu nae ni kichwa cha familia mtarajiwa
Kwahiyo sistahili kuwa kichwa Cha familia kwasababu ya kuwa na wachumba wawili na kushindwa kumchagua aliyebora zaidi au kosalangu ni kuomba ushauri humu jf
 
Be careful with battle you want to start my dear, grow wise and learn from positive people, it's seems ur still mvulana though you fuvk two gelz.
Asante sana japo hujanipa approach ya kushinda battle
 
A girl to marry?

You should use wisdom man, that's a natural institution your going to have. That's the future. One shouldn't only be smart when deciding, use wisdom.

That whole time you've lived with them means you know them very well.

I only consider this order may help choosing good wife otherwise if you wanna use your emotions then do what you think.

One who;
1. Have faith in God (do not confuse with "everybody worshiping and attending that building in that every day)
2. Loves you ( she shouldn't love your property, wealth, career, you'll suffer because material lasts, souls love doesn't)
3. Loves your parents (She at least show signs of asking you a well-beingness of your parents if not your home family, curious about your background status and parents, this will make her love you and your life and people around you will be her people's too)

Then thank the Heavens later while in your 70th marriage anniversary
Ushauri huu nitaufanyia kazi kwa 100% Asante sana ndugu I appreciate you
 
One of the worst thing to do in life is blaming or judging someone for making a wrong choice or chose a certain path in life. Hakuna ambaye hajapitia hiyo stage or situation regardless of how small or big it was..

Pia Moja ya vitu common ni kuwa wote huwa tuna REASONS za kufanya hayo japo ni wachache huja mbele na kujua wapo wrong na kuchukua full responsibility of their actions....

Ok MR "RIGHT", jamaa kashajua what he did was WRONG na pengine mwanzoni hakujua situation atakayokuja kukutana nayo na ndio maana hadi sasa yupo GUILTY na anatamani kupata SOLUTION ambayo haitomuumiza mtu.

That only should tell you how good he is in person, wengine wasingejali so long as wanajali furaha zao. So , he is here seeking for an advice that 'll make a situation a bit easier for EVERYONE japo ni ngumu maana lazma mtu mmoja AUMIZWE.
Kama kunawatu walionielewa Basi wewe jamàa umenielewa vilivyo

then kabla ya kuchukua uamuzi wa kuomba ushauri humu jf sikudhani Kama nitapata mtu atakayeijua dhamira yangu kuwa kweli nimekosea lakini nahitaji njia nzuri ya kutafuta amani ya moyo. Wengi wameishia kunilaumu na kuniona mkosaji niliye dhaifu na sifai kuwa kichwa Cha familia.

Yote kwa yote nimegundua leo kambe jf Kuna watu wenye akili nyingi sana naweza sema wewe jamàa ni genius
 
Awaache hao wanawake waende kwa wanaume wanaostahili kupewa huo upendo.
Huyu hastahili kabisa na anapaswa akae hivyohivyo mwenyewe maana hajitambui.
Kwakuwa eti nilikosea Basi sistahili kutendewa jema wala kupewa nafasi ya kurekebisha makosa yangu.

Msijisahau mapungufu yetu ndo yanayotufanya kuwa binadamu
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
Jambo pekee ninaloweza sema hapa ni pole sana kwa wakati mgumu unao upotia, maana nami niliwahi kupitia hii hali ingawa yangu ikikuwa keshi kubwa kuliko yako.
Ungeshere nasi labda tungepata cha kujifunza
 
Kwangu Mimi sijaona tatizo la kuomba ushauri humu zaidi sana nimepata ushauri mzuri na naamini nitatoboa
Umefanya jambo jema kuomba ushauri, ni wachache wanaotambua wamekosea sehemu na wakaomba mwongozo.
Jitahidi ufanye maamuzi sahihi, mshirikishe Mungu pia kwa imani yako naamini atakuonyesha njia iliyo sahihi.
 
mimi nilikua na wawili.

mmoja ambae ni mtu mzima yani 25+, nilikua na shida ya mtoto so nikamwambia abebe mimba yangu eti hataki mpaka aolewe. nikamwambia aje tuishi wote akakataa, eti babaake hatamuelewa.

wa pili nikamtia mimba akakubali kuiacha na ndo nipo nae mpaka kesho kutwa.

huyu wa kwanza nimemwacha aolewe na babaake.
 
Back
Top Bottom