Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Ahsante cutewanaume wote wangekua kama wewe ingekua raha sana....
Wapo wengi, huwa nawaona wakipita pita humu jamvini, akina Genta, Ccnp Engineer...na wengine lukuki 😂
Ahsante cutewanaume wote wangekua kama wewe ingekua raha sana....
wanaume wote wangekua kama wewe ingekua raha sana....
the one thing I love most about you Lil c'ssy is that endless support.!!Hahaa good girl, and all the best darling sis
Hayo usiwaze, yatajulikana tu mbele ya safari. Muhimu tufanye part yetuHivii Bw. Kharusi ana taarifa lakini..? tusije toleshwa machozi siku ya kharusi tukharibu make-up zetu.! 😂
Nitaambia nini kamati ya roho mbaya nikiachwa kanisani na shela langu??Hayo usiwaze, yatajulikana tu mbele ya safari. Muhimu tufanye part yetu
I got your back sis and 'll always be there for you😘the one thing I love most about you Lil c'ssy is that endless support.!!
Nadhani nimekua too emotional, nime apologize tayariDah.nimeogopa kwa niaba yake.Yan nimehis lle unaifokea mm vile.!!dah huyu jamaa asipoomba radh baada ya kusoa hi atakua baharia ""KWERI KWERI""
I pronounce you husband and wife, you may kiss the groom...Bro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! 😀
Ushauri mzuri sana mdogo wangu, ila tafadhali subiri kwanza Pep amalize kupitia post zangu za nyuma usiniharibie ngekewa yangu 'tavazali' sana, huwezi jua wewe ndiye utakuwa mrusha maua wakati wa kuingia ukumbini..!! 😂 😂One of the worst thing to do in life is blaming or judging someone for making a wrong choice or chose a certain path in life. Hakuna ambaye hajapitia hiyo stage or situation regardless of how small or big it was..
Pia Moja ya vitu common ni kuwa wote huwa tuna REASONS za kufanya hayo japo ni wachache huja mbele na kujua wapo wrong na kuchukua full responsibility of their actions....
Ok MR "RIGHT", jamaa kashajua what he did was WRONG na pengine mwanzoni hakujua situation atakayokuja kukutana nayo na ndio maana hadi sasa yupo GUILTY na anatamani kupata SOLUTION ambayo haitomuumiza mtu.
That only should tell you how good he is in person, wengine wasingejali so long as wanajali furaha zao. So , he is here seeking for an advice that 'll make a situation a bit easier for EVERYONE japo ni ngumu maana lazma mtu mmoja AUMIZWE.
🤣🤣🤣 nitakua nimebeba nguo ya emergency hyo siku, mambo yakibuma tunaingia chemba unachange basi tunatoka zetu tunaenda mahala kula nyama kama sio sisi vile. Kwani sh ngapi😂😂Nitaambia nini kamati ya roho mbaya nikiachwa kanisani na shela langu??
Ushauri mzuri sana mdogo wangu, ila tafadhali subiri kwanza Pep amalize kupitia post zangu za nyuma usiniharibie ngekewa yangu 'tavazali' sana, huwezi jua wewe ndiye utakuwa mrusha maua wakati wa kuingia ukumbini..!! 😂 😂
![]()
![]()
Hivii nitaweza kweli.? Naskia bi mdogo ndiye hupendwa zaidi.!!
Kwann wote tuwe kama yy Bad boys kama sisi mtatupata wap..?
Tena mkaamua kuweka huku na utu uzima wote huuUmenikumbusha mbali sana mkuu.
Jambo pekee ninaloweza sema hapa ni pole sana kwa wakati mgumu unao upotia, maana nami niliwahi kupitia hii hali ingawa yangu ikikuwa keshi kubwa kuliko yako.
NdioTena mkaamua kuweka huku na utu uzima wote huu
Hahaaa ulifanya vibaya wallah had picture zao hafu nyie wote umri wa maveterani.Ndio
😂 😂😂😂😂😂😂😂I pronounce you husband and wife, you may kiss the groom...