AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
- Thread starter
- #381
Hili nalo neno mkuu asante sanaukidhani kusema ukweli ndo kutengeneza kesi basi endelea kuficha uumbuke na kifo. mficha maradhi nadhani unajua hatima yake.
Hili nalo neno mkuu asante sanaukidhani kusema ukweli ndo kutengeneza kesi basi endelea kuficha uumbuke na kifo. mficha maradhi nadhani unajua hatima yake.
Duuu, kwa iyo yawezekana kila mmoja ameusoma huu uzi na wasiweze kutambua kwamba huu uzi ni wao! daaaa.....Wapo humu jf japo hawajui Kama namimi natumia hii JF nikiweka picha nitajivua nguo mkuu.
Kama vipi tafuta fedha ukiwa na mkwanja wa kuwahudumia watakubali tu kuoa wote maana ukiwapiga kila mm0ja na IST halafu ukawapiga na Nyumba Vyumba viwili,sebule jiko ,public toilet kila mmoja na biashara ya kuku/X-pesa etc hawachomoi ,Narudia Tafuta MTONYO KWANZA.Kuoa ni tofauti na kuwa na mahusiano, kipato changu sidhani kama kinakidhi kuoa wake wawili, pia wao hawawezi kushare mwanaume na siku wakijua upuuzi wangu sipati picha
Acha povu wewe na mangeli yako peleka huko , kama ulielewa uzi uloandikwa kwa kiswahili kwanin usijibu kwa kiswahili? Una uhakika gani kuwa huyu mtu mwenye uzi anajua kiingereza?????In the first place you are just a selfish nigga
You are such an idiot that you are playing with two of them.
You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.
Don’t You have your self respect?
How can you do such shit and without guilt you are roaming around?
Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?
Do you even think just for once for being such a jerk?
I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.
Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!
And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.
God knows how you look at yourself.
Nimependa sana mchango na jinsi ulivyotizama tatizo langu, kwakweli unahekima za kubalance mambo maana wengi wameishia kunilaumu na kuniombea mabaya ili nizidi kupotea na kuwa eti sistahili kuwa na mwanamke mwaminifu kwakuwa Mimi sikuwa mwaminifu, yaani Wana assume Kama Mimi nimeshakuwa shetani siwezi kubadilika na kuwa muaminifuAcha povu wewe na mangeli yako peleka huko , kama ulielewa uzi uloandikwa kwa kiswahili kwanin usijibu kwa kiswahili? Una uhakika gani kuwa huyu mtu mwenye uzi anajua kiingereza?????
We jamaa, achana na huyo nanga hapo juu......... hii ni hatua ambayo wanamme wengi tunapitia japo si njema kabsa.
Watu wapo kwenye ndoa lakini bado wanavdem nje kama kawaida sembuse wewe tena bachela kabsa .....japo si point ya kujifariji,.
Ukweli humuweka mtu huru, chagua mmoja umuoe huyo mwingine mweleze ukweli aendelee na maisha yake ila muombe msamaha wa dhati maake utakuwa umemkosea sana.
Kingine kama upo vizuri kiuchumi... muwekee kias cha fedha kwenye akaunti yake itamsaidia, hyo itamuonesha unamjali ila ndo maisha yalivo.
Usuhuda;
Nilikuwa na kesi kama yako...... nilichokifanya Tuma nilimwachia hela zote nilizoweka nae kwenye vicoba kwa miez kumi, zikawa zake ni zaid ya 1M, nikamwambia hzo chukua ztakusaidia katika maisha yako ukurasa huo mpya... binafsi nikawa na amani yeye pia... hivi juzi nikamtumia wimbo wa Ambwene Mwasongwe ' patana na mshtaki' asikilize... akanambia ana amani ya kutoshamoyoni maisha yanaendelea.
Saiv nipo na mwnamke mmoja, nlikotoka sirudi tena.... wakristo tunasema nipo kanani sitarudi tena misri.
Muda wa kuendelea kusaka mtonyo bila kuwa na mke nitakuwa najidanganya halafu kwa kazi na hadhi niliyonayo inanilazimu nioe kwasasa na umri ndo huoooo unayoyomaa, wadada wa watu wanazeekea nyumbani na pia nikijifanya kuvunga manyemera wataniwahi mkuu nitakosa woteeeKama vipi tafuta fedha ukiwa na mkwanja wa kuwahudumia watakubali tu kuoa wote maana ukiwapiga kila mm0ja na IST halafu ukawapiga na Nyumba Vyumba viwili,sebule jiko ,public toilet kila mmoja na biashara ya kuku/X-pesa etc hawachomoi ,Narudia Tafuta MTONYO KWANZA.
Inawezekana kabisa Kama wewe una dada au nduguyo wakike ningeweka picha zao hapa saa hizi tungekuwa tunaongea mengine lakini kwakua hujawafahamu amani inazidi kutawalaDuuu, kwa iyo yawezekana kila mmoja ameusoma huu uzi na wasiweze kutambua kwamba huu uzi ni wao! daaaa.....
Hii inamake sense nakubaliana na wewe % kwa suala la sex lakini kwangu Mimi kuwa na wapenzi wawili nimeenjoy kuwa na faraja wakati wote kwakuwa ninapokosa faraja kwa mmoja Basi naipata kwa mwingine na hii inanifanya nijiamini sana na kujiona Mimi kidume mwenye akili nyingi kifupi mapenz nimeweza kuyaendesha na hayajaniendesha hata chembeSex is overated hamna jipya hata utoke Leo juma, kesho Ali, omary, Peter mwisho wa siku enjoyment huwa kwa yule mwenye connection and bond. Imagine mfano machangu. Kuna kufanya upizi na kufanya ile connection ya ndani
Asante kwa kujazia nyamaKuna abc... zaidi ya pesa, dini, kuumwa, etc...
Authority wewe ni baharia wa kike au wakiume mbona Kama zile kanuni za kibaharia umezinywa halafu umebobea. Hii noma sana kaaaahBaharia waombe 0713 tu atakayekubali mwambie kabisa kuwa nimekuacha kwa sababu hujithamini . Kwa upande wa pili wakikataa wote chagua mmoja unayemkubali zaidi umuoe Alf mwingine umwambie nmekuacha kwa sababu umeninyima 0713 . Tayari problem solved unakwama wapi.
Wote wananijali na kuniheshimu sana na wote wako very serious na wanajua wanachokifanya sio wanawake wa hovyo hovyo hata Mimi nawaheshimu sana ndomana nipo makini sana kucheza na akili zaohuwa inatokea,
chagua anayekujali na kukuheshimu zaidi ya mwingine, ndio awe mke. halafu punguza mawasiliano na huyo mwingine na hatimaye kata kabisa mawasiliano naye, ikiwezekana hama kama uko mtaa jirani naye
Oa Ki Awamu ,anza na m1 kisha baadae utaoa mwingine,wewe ndio unaona hawatakuelewa lakini ukiwaweka chini vizuri wanaelewa sana!!Muda wa kuendelea kusaka mtonyo bila kuwa na mke nitakuwa najidanganya halafu kwa kazi na hadhi niliyonayo inanilazimu nioe kwasasa na umri ndo huoooo unayoyomaa, wadada wa watu wanazeekea nyumbani na pia nikijifanya kuvunga manyemera wataniwahi mkuu nitakosa woteee
At least nimepata companionDaaaah mkuuu uko kama mm nina wawili sielewiii naoa yupi naachaa yupiii ilaaa mm kuna mmoja naona familia yao sio kubwa kvle kwa hyo nimepgaa calculations za future nisije nikawa na unecessary extended family ya kusomesha watoto wa wakwe,
Mwanamke wa kwanza kunishauri bila kunilaumu.Chunguza zaidi wanawake sie pia huwa katk stage hyo huwa tunakua na altenative huwa hatuamini kama.kweli huyu atanioa so kama kuna mwingine analeta story za kunipenda simtolei nnje but nampa muda na story za hapa na pale huku nasikilizia u serious wa huyu. Kama unaweza kuchimbua chimbua unaweza pata sababu ya kuacha. Wengi watakataa ila ndo uhalisia huo tunashukuru tumeolewa sasa nakupa ushauri tuu mdogo wangu sio wanawake wote ni waaminifu. Unaweza kujuta bure kumbe na wao walikua wanakupiga matukio
Amen mkuu ubarikiweI'm humbled mkuu.
Shukrani sana na ninaomba Mungu akufanyie wepesi katika maamuzi yako maana najua upo katika state ngumu mno.
Hivi picha ya kwenye avatar inashida gani mbona inahusianishwa sana natabia zangu na jina ninalotumia??Kama kwenye avatar ni wewe,waache wote anza upya,kuanza upya si ujinga.
Kwahiyo nibora nibaki na yule nitakaye muacha halafu yule nitakaye bakinae nimuache au sio mkuuila nakutaadharisha yule utakayemuacha ndiye wife material
Hisia zinaweza kumfanya mtu abadili lugha. Jamàa alikerwa zaidi na vitendo vyangu vibaya akaona atumie lugha ambayo ni rahisi kuelezea hisia zake za ndani.Sasa hapa umemuandikia trump ama?
Mtoa mada anakwambia kwa lugha nyingine ww unamjibu kwa lugha tofauti.
Hoja nzuri lakini umejuaje kama mtoa mada ataielewa lugha yako?
Yupi umetoka nae mbali? Kwan ulianza kudate nao sku moja?Hisia zinaweza kumfanya mtu abadili lugha. Jamàa alikerwa zaidi na vitendo vyangu vibaya akaona atumie lugha ambayo ni rahisi kuelezea hisia zake za ndani.
Ndomana walevi wakishalewa wanaongea ngeli