Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,799
- 26,618
I'm humbled mkuu.Kama kunawatu walionielewa Basi wewe jamàa umenielewa vilivyo
then kabla ya kuchukua uamuzi wa kuomba ushauri humu jf sikudhani Kama nitapata mtu atakayeijua dhamira yangu kuwa kweli nimekosea lakini nahitaji njia nzuri ya kutafuta amani ya moyo. Wengi wameishia kunilaumu na kuniona mkosaji niliye dhaifu na sifai kuwa kichwa Cha familia.
Yote kwa yote nimegundua leo kambe jf Kuna watu wenye akili nyingi sana naweza sema wewe jamàa ni genius
Shukrani sana na ninaomba Mungu akufanyie wepesi katika maamuzi yako maana najua upo katika state ngumu mno.