AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
- Thread starter
- #441
Dini yangu hainiruhusu mkuuKama upo nao kwaninj usioe wote kwa siku moja maana mila zetu zinaruhusu
Dini yangu hainiruhusu mkuuKama upo nao kwaninj usioe wote kwa siku moja maana mila zetu zinaruhusu
Mkuu hapa umenitukana kiaina aisee lakini hamna shidaMvulana wa mika 30. Kuna watu wengine hupata bahati ya kuwa wanaume wangali na umri wa miaka 18 ila wewe umri umesogea ila ungali mvulana. Siku ukifaulu kutambua tofauti kati ya kupenda na kutamani basi utajua huenda hata kati ya hao mabinti unaowachezea na kuwapotezea muda hakuna aliye wako na wana deserve mema!
asante sana kwa ushauri hataivyo nimeshapata suluhisho na mpaka sasa nimembakiza mmoja japo nimemuumiza sana niliyemuachaOa mmoja na mwingine mfanye mchepuko wa kudumu hivi vitu vifanye kwa siri sana
Nimeshafanikiwa mkuu mawazo ya wadau wa JF yamenisaidia saaana na mpaka hapa nilipofikia naamini tatizo limekwisha na sasa nipo huruSijui kwann siamini mwanamke mpole asiye na makosa mpaka kushindwa kumpatia sababu ya kumwacha.
Una uhakika hao wanawake hawajui wapo wawili na hapo ulipo wanajua ushachanganyikiwa na wao wanachochea moto?
Ndoa zimekuwa adimu sana, wanakomaa wazipate, miaka miwili ni michache sana, ukishaoa ukadumu nae miaka angalau saba ndo utajua umeoa nini.
Haiwezekani ukapenda watu wawili. Kuna mmoja hapo ukichunguza humpendi ila kuna kitu tofauti anacho anakupa hutaki kukiacha.
Hii ya njia ya kiimani ingenitesa sana. tayari nimeshasolve mkuu asante sanaaHi itakudhuru utaishia kuchagua corona nazi utawaachia wengine heri utumie probability ya tossing andika majina yao kwenye papers na utumie zaburi ya 51, 82, 103, petro was kwanza sura ya 5 mstari wa 6+, funga siku8, ukitumia zaburi 51 hakikisha ogea chumvi ya mawe ukinuiza toba yako na umtakae na Mwambie Mungu ikikupendeza Kama sio wangu waniache wao. Nakula pozi kwanza...niko kibiblia Zaidi muda huu
Kataa ukubali huo ndio ukweliSio kweli
huu ndo ukweli mchunguuuuSawa nendeni huko mkirud msianze kusema sijui jamaa yng naogopq kumwambia style flani ataniona muhuni.... Wakat kwa bad boy popo kanyea mbingu, parachuti imekataa kufunguka style zote furesh
Usiniombee mabaya mtoto wa mwenzio. nashukuru nimefanikiwa kumuacha mmoja NILIAMUA KUKUBALI LAWAMA KULIKO FEDHEHAUshauri unanoga zaidi baada ya wewe kuumbuka tunasubiri uumbuke kwanza ndio tukashauri kadri inavyofaa
Hii ya njia ya kiimani ingenitesa sana. tayari nimeshasolve mkuu asante sanaa
Nipm namba ya mmojawapo..uje unifumanie naye halafu ndo unapata sababu ya kumuacha...ILA UWAHI ENEONLA TUKIO MANA UKICHELEWA TU UNAKUTA MANYONYA CHA FEST NA SEKANDI..LETA NAMBA YA MMOJAWAPO..NIPM FASTA..NIJUE KWELI WEWE NI BAHARIA AU VIPI?Wote Wana mizigo ya kufa mtu mkuu
Asante mkuu nilishasolve tayariNipm namba ya mmojawapo..uje unifumanie naye halafu ndo unapata sababu ya kumuacha...ILA UWAHI ENEONLA TUKIO MANA UKICHELEWA TU UNAKUTA MANYONYA CHA FEST NA SEKANDI..LETA NAMBA YA MMOJAWAPO..NIPM FASTA..NIJUE KWELI WEWE NI BAHARIA AU VIPI?