Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

🤣🤣🤣 nitakua nimebeba nguo ya emergency hyo siku, mambo yakibuma tunaingia chemba unachange basi tunatoka zetu tunaenda mahala kula nyama kama sio sisi vile. Kwani sh ngapi😂😂
Hahahahaaahaa..
Hii ni 'breeeeee' kabisaaa.!!

Natakiwa nikuweke kwenye kamati yangu inayohusika na disasters unafaa kabisa kuwa solution provider, game changer and the fixer..!
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.
Duuuh, rungu zito sana hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini isipofika altareni si unajua nina first aid kit na leso za kutosha. Ila a shoulder to lean on ndo sina yaani itabidi nkutumie package ufanye self service 😀
😂 😂 😂 😂
Katika watu ambao ninaomba aibu yangu isiwakute mbele yao ni wewe, kuna watu ni teasers wa kujificha ila wewe unaweza nichamba hata ukumbini kabisa.!!
 
Hahaaa ulifanya vibaya wallah had picture zao hafu nyie wote umri wa maveterani.
Kosa lilikuwa langu mkuu, na mbaya niliwagonganisha zaidi ya watatu na kisha wakaanza kugombana wao.
Lakini mwisho wa siku nilijutia na kuwaomba radhi kwa kitendo kile aiseee.....
Kweli nilitenda kosa, lakini usisahau kwamba nami ni binadamu mkuu.
 
Nyie viumbe huwa mnajichumia dhambi Bora had picha za uchi wa mama wa watu wazima vile na watoto, nawao walikosea kugombana wao kwa wao wallah. Wangetakiwa tu waachie ngazi kimya kimya hvo vitu hutokea Ila kudhalilishana vibaya mno, ningekuwa Mimi hata nisingetaka msamaha naku delete duniani na kuzima.
Niliwahurumia Sana wale wadada aisee.
 
Hapa ni unakiri na kujutia ama unaongezea taarifa nyama mkuu.!?
 
Nyie viumbe huwa mnajichumia dhambi Bora had picha za uchi wa mama wa watu wazima vile na watoto, nawao walikosea kugombana wao kwa wao wallah. Wangetakiwa tu waachie ngazi kimya kimya hvo vitu hutokea Ila kudhalilishana vibaya mno, ningekuwa Mimi hata nisingetaka msamaha naku delete duniani na kuzima.
Niliwahurumia Sana wale wadada aisee.
Mkuu, kosa langu lilikuwa kuwagonganisha na ndio ninajutia.
Lakini hayo mengine yalitokana na kosa langu ambalo lilipelekea mdada mwingine akaongezea kosa.
Na kwahili siwezi kujutia na siwezi kuomba radhi, hata hizo picha unazo zisema nami nilizisikia tu kama unavyo nipa taarifa wewe
 
😂 😂 😂 😂
Katika watu ambao ninaomba aibu yangu isiwakute mbele yao ni wewe, kuna watu ni teasers wa kujificha ila wewe unaweza nichamba hata ukumbini kabisa.!!
hahaaaa wewe sio wa kunitamkia maneno hayo ila Hakika aibu haitokukuta maana umeamua kukamata fursa ya mjentlomani Pep ila tu namshtua mapema kwenye zile tabia zako za kuwaweka watu friend zone 😂
 
Back
Top Bottom