Authority
Member
- Apr 30, 2020
- 73
- 153
Me mkuu ndo maana nazijua hiz kanuni maana yalishanikutaAuthority wewe ni baharia wa kike au wakiume mbona Kama zile kanuni za kibaharia umezinywa halafu umebobea. Hii noma sana kaaaah
Me mkuu ndo maana nazijua hiz kanuni maana yalishanikutaAuthority wewe ni baharia wa kike au wakiume mbona Kama zile kanuni za kibaharia umezinywa halafu umebobea. Hii noma sana kaaaah
Sawa nendeni huko mkirud msianze kusema sijui jamaa yng naogopq kumwambia style flani ataniona muhuni.... Wakat kwa bad boy popo kanyea mbingu, parachuti imekataa kufunguka style zote fureshhehehehehe tumewachoka bad boys
Sawa nendeni huko mkirud msianze kusema sijui jamaa yng naogopq kumwambia style flani ataniona muhuni.... Wakat kwa bad boy popo kanyea mbingu, parachuti imekataa kufunguka style zote furesh






wanaume wenye akili lazma waanze kuishi na mwanamke kwanza. wa kwako ni mbumbumbu ndo mana kapata mbumbumbu mwenzake.Speak for yourself young boy. Unafikiri wanaume wote hawana akili? Huku kwetu tumeolewa ndo tukaanza kuishi na wanaume; bado wapo wanaume wenye ufahamu.
wanaume wenye akili lazma waanze kuishi na mwanamke kwanza. wa kwako ni mbumbumbu ndo mana kapata mbumbumbu mwenzake.
bye mbumbumbu ake.Save your energy boy. Bye Lance
Kuna kuzidianaWote Wana mizigo ya kufa mtu mkuu
...hell is a sisterWaache wote I'm sure watakubamba itakuwa aibu na utaachwa, Sasa from there utapata series za matukio na utakayemuoa atakuwa pasua kichwa. Sijui kwanini wanaume huwa hamsemi ukweli mpaka muumize wengine. Remember karma is a bitch.



Tutakuvisha pampersWapo humu jf japo hawajui Kama namimi natumia hii JF nikiweka picha nitajivua nguo mkuu.
HahahahahaBro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! 😀
😃😃😃nakaziaChagua mwenye tako kubwa zaidi ya mwenzie. Kigezo hiki ndio kimebaki
Kweli EvilSpiritUshauri unanoga zaidi baada ya wewe kuumbuka tunasubiri uumbuke kwanza ndio tukashauri kadri inavyofaa



😃😃Mm ilinitokea niko chuoni, nilikuwa nao wawili, mmoja nilimwambia nataka mtoto akagoma akasema muda bado, nikamfuata wa pili nikampa mimba hapo chuoni tukisoma wote.
Nikaanza kuwaza nitafanyaje ili nibaki na mmoja?, nikashangaa siku moja yule wa kwanza ananipigia simu na kuniambia yuko kwa mpenzi wake.
Nikamuuliza huyo mpenzi wa kike wa kiume? Akasema ni wakiume, nikakata simu ndio ikawa mwisho wa mahusiano.
Akaanza kuniomba radhi lakini wapiii
I'm yet to seeing the gentleman who can manage to resist the idea of having the two species of your quality 😉morning darling, nimeshindwa kumuelewa kabisa au ndo sitaki nataka
I'm yet to seeing the gentleman who can manage to resist the idea of having the two species of your quality 😉
🥰🥰 mipango iendeleemwenye majini mahaba nilisha achana nae kitaaambo saaana mpaka nilisha msahau niliona angeniletea balaaa nikamuepuka ndio mwanzo wa kuanzisha mahusiano mapya
😂😂😂😂Chagua mwenye tako kubwa zaidi ya mwenzie. Kigezo hiki ndio kimebaki