Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Si tumeachwa kwa mataa mpaka sahii..😂usjali mke mwenza ntakutag
Si tumeachwa kwa mataa mpaka sahii..😂usjali mke mwenza ntakutag
Si tumeachwa kwa mataa mpaka sahii..![]()
Ushauri mzuri sana mdogo wangu, ila tafadhali subiri kwanza Pep amalize kupitia post zangu za nyuma usiniharibie ngekewa yangu 'tavazali' sana, huwezi jua wewe ndiye utakuwa mrusha maua wakati wa kuingia ukumbini..!! 😂 😂
Hivii Bw. Kharusi ana taarifa lakini..? tusije toleshwa machozi siku ya kharusi tukharibu make-up zetu.! 😂
Hayo usiwaze, yatajulikana tu mbele ya safari. Muhimu tufanye part yetu
Nitaambia nini kamati ya roho mbaya nikiachwa kanisani na shela langu??
lakini isipofika altareni si unajua nina first aid kit na leso za kutosha. Ila a shoulder to lean on ndo sina yaani itabidi nkutumie package ufanye self service 😀
usijali tutakuwa kama wake wa Dr mwaka
TobaaaAhsante cute
Wapo wengi, huwa nawaona wakipita pita humu jamvini, akina Genta, Ccnp Engineer...na wengine lukuki 😂
Cute ni beauty with brains, same to CarleenHahaha nikabidhi mmoja as terms za kua best man
anataka kuniingiza mkenge na mi nimegoma nimezama kwakeTobaaa
Umeamua utaje watu vichomi
Anne kwenye ndoa unahitaji mtu atakufanya ucheke kila siku.Tobaaa
Umeamua utaje watu vichomi
Hao watu aliowataja Sasa😂😂😂😂😂anataka kuniingiza mkenge na mi nimegoma nimezama kwake
Mimi hawajawahi kunichekeshaAnne kwenye ndoa unahitaji mtu atakufanya ucheke kila siku.
Sasa imagine umpate mwana kama Genta ama Ccnp Enginer.....kwa zile pranks zao unacheka kila siku, unanenepa
yaaani daaaahHao watu aliowataja Sasa😂😂😂😂😂