Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Ina maana mama Anna mghwira hujamsikia?
Labda mmoja kampenda kiunoni kwenda juu, na mwingine kiunoni kushuka chini
Hayo ni maoni yake haijawa Sheria au katiba ya jamhuri ya muungano Hadi ifatwe kwa lazima
 
Ningepata mwanaume design yako anayejielewa hivi loh. I wish wanaume wangekuwa na mtazamo chanya hivo matatizo na machungu ya wengi yasingekuwepo
Mwandiko sio tabia, jichange uwe sample size uje utupe ushuhuda
 
Bro, japo sijawahi kuamini kuwa karma is a bitch, ila what goes around come around.
Ushauri wangu, waache wote tubu na waombe msamaha.
Sababu ukimuoa mmoja wao, kuna siku atalipiza tu. hawa viumbe huwa hawasau japo atasema amekusamehe
 
Wao wote au mmoja mfanye mchepuko wa kudumu kama Dini hairusu ila kumbuka Mchepuko sio dili na kuna Jehanama
 
Habari gani Watanzania wenzangu.

Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.

Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.

Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja

Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?

Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.

Mkuu wewe umeanza kukosea tangu mwanzo. Halafu hakuna kipindi ulikua na wakati mgumu kama kipindi unaaanza kumtamani huyo wa pili kwa sababu tayari ulikua na huyo wa kwanza. Ulimlaghai na akakukubali na ukuwahi kumwambia ukweli kuwa kuna mwenzake, ukatumia akili, nguvu, muda na pesa kuhakikisha unatimiza tamaa zako, na wakati huo wote hukuja kutuomba ushauri ila ulimudu. Mbinu zile za mwanzo naona zitakufaa zaidi ama la basi tuanzie kule mwanzo ulifanyaje mpaka ukaweza kudumu nao miaka miwili bila wao kujua?

Pia avatar yako ina jina tata, 'akili kijiko' hua nasikia wakisema wanaume wanatakiwa kuishi na wanawake kwa akili, sasa wewe akili yako kijiko unawezaje? Kaongeze akili kwanza.

Hii ni dhambi umefanya, sasa unatafuta wa kushiriki nao dhambi yako sio?

hao watu wana mioyo, na una deni kubwa la kulipa

Nisamehe kama sijakushauri kama ulivyotegemea.

Kama shida ingekua ni pesa ya mahari na umekwama pengine ningefikiria kukuandikia hundi.

Pole sana
 
Huyu mwenyewe aliyeandika hapa anaweza kuwa chuma kuliko mleta mada, we unahisi hajawahi kuumiza watoto wa watu?
anaweza kuwa aliwahi kuumiza ila kwa kuwa tunajifunza kutokana na makosa basi alipogundua alijifunza na hakutamani kurudia makosa.. au hajawahi kuumiza maana aligundua mapema kwamba si kitu sahihi...
siwezi kumsemea ila labda tumuulize Pep
 
  • Nzuri
Reactions: Pep
how come??....okay.......ni kweli ama sio kweli.....maumivu ya mahaba ni mabaya sana bro......unakaribia kuvuna ulichokipanda.........just U turn then ujue mlikuwa mnashare 1 in 2........the way itakuuma ndivyo itakavyowapata one of them.....nakushauri ...........zungumza nao kibingwa.......mkubaliane wote uwawowe....
 
Ukipata mwanaume wa hivi mwenye utu na hekima lazima umtii na kumheshimu, maana ni true definition ya real gentleman, man.
Anakuwa na hekima zote na utu wote halafu kuna sehemu tu lazima azingue. Yaani hakuna asiyezingua...
 
badilisha dini oa wote km unaweza waudumia km uwezi tuachie wengine tunasugua benchi tu
 
Anakuwa na hekima zote na utu wote halafu kuna sehemu tu lazima azingue. Yaani hakuna asiyezingua...
Ndio anaweza kuwa na hekima Ila mkitokea mkaelewa ni rahisi kupunguza ugomvi usio na kichwa Wala miguu, na ni rahisi kuchukulia mapungufu yake tofauti na wengine madhaifu yanakuwa mengi Hadi kuvumilia huwezi, it's like wearing kiatu kinachokubana, sometimes when you have someone mnayeelewana na ku share interests inapunguza mengi kuliko mtu usiyeelewana naye
 
Habari gani Watanzania wenzangu.

Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.

Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.

Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja

Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?

Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Kesi hii nilikutana nayo wakati wa ujana wangu miaka kadhaa iliyopita....baada ya kuona muda wa kuoa umefika na naishi kwangu mwenyewe lakini kwa machale sana yaani nikiwa na mmoja wao ndani halafui nikisikia geti linagongwa napata hofu na hii ni kila mara....Kumbuka hawa walikuwa wanajuana vizuri sana na ni maadui vibaya...sasa nilivyochoka nikawagonganisha nyumbani kwangu chumbani.......ilikuwa hivi ...mmoja nilikuwa naye viwanja tukarudi home kama saa tisa hivi kuingia chumbani tukamkuta mwenzie kalala kitandani ......nami nikakaa kitandani nikawa ninawaangalia ...yule aliyelala akastuka akaamka akakutana macho kwa macho na adui yake namba 1 chumbani....mbilinge lake lilikuwa si la kitoto...vurugu za kufa mtu na hasara juu nikapata...lakini mwisho mmoja akashindwa akabaki mmoja nikamuoa....baada ya miaka mingi yule aliyeshindwa na kuondoka tukarudiana kama mchepuko wangu ( aliniomba mwenyewe rasmi kabisa) ingawa ameshaolewa, ana hela na watoto kadhaa....maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom