Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Kwa hili sikubaliani na wewe mkuu.
Binadamu hubadilika na hata mimi nimebadilika sana tu, sio tena yule wa matukio. Nimekuwa baba mzuri, mume mwema na ninampenda Mungu
People hubadilika kwanini hyo tabia ni ya wanaume 98% wako hvo bila kujali umri, hata matukio ya kila siku ni hayo hayo, huwa nawaza Kuna sehemu hamkui
 
Mkuu, hii kitu kama haijawahi kukupata unaweza ichukulia poa.
Binafsi ninamuelewa sana mleta mada, na hii hali inaweza sababisha ukatamani hata dunia ipasuke utoweke aiseeeeee
Ni kweli lakini mbona hicho kitendawili jibu lake jepesi Sana...atumie uwanaume wake Kwenye kufanya maamuzi Kama hayo kwamaana atumie akili zaidi (kichwa cha juu) kuliko hisia (kichwa cha chini).

Labda awe amelishwa ndumba na hao mademu....
 
Habari gani Watanzania wenzangu.

Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.

Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.

Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja

Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?

Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
Lazima tofauti ipo tu Kwanamna yoyote na kama huioni basi wewe ndio huwastahili wao waache wapate muda wakupata waume wazuri watakao wafaa. Tatizo 1 la haraka haraka ulilo nalo wewe siyo muaminifu hata ukichagua mmoja Kwa sifa ulizo wapamba nazo utamuumiza tu tafuta liongo kama ww itakuwa poa sana
 
Nipe namba za mmoja halafu nimpige sound kisha uikamate simu halafu upate sababu ya kumuacha
 
hahaaaa wewe sio wa kunitamkia maneno hayo ila Hakika aibu haitokukuta maana umeamua kukamata fursa ya mjentlomani Pep ila tu namshtua mapema kwenye zile tabia zako za kuwaweka watu friend zone 😂
😂 😂
Kushakuchaaa,
Kwahiyo mdogo wangu unataka kuniharibia mchana kweupe si ndiyo?? Pep siwezi mfanyia hivyo kwani nimemridhia kwa moyo wangu wote..!!
 
Wapige mimba wote hakikisha kila moja unampatia watoto wa wili au watatu endeleatu kuongeza watoto, alafu anza kuwajengea kila moja nyumba yake, hapo utakuwa umewajibika kama mwana Ume.
Habari gani Watanzania wenzangu.

Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.

Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.

Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja

Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?

Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
 
In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.
Pep siku nyingiine ukitaka kupost unitumieee mimi inbox ni post alafu wewe uandike ingine

Hizi busara zako zinaweza tenda jambo kwangu

Big up sana mkuu

#Staysafe
 
Back
Top Bottom