wewe mnafiki kama lilivyo bunge lakoKiini cha tatizo ni uvivu wa kufikiri na wa kufanya kazi wa wenyeji wa SA. hawa hawana tofauti na mtu ambaye mkilima shamba sehemu moja halafu wewe ukahudumia vizuri, yeye asihudumie vizuri, utakapovuna mavuno mengi wakati yeye kavuna kidogo atasema umemuibia mavuno kwa namna fulani.
Wangejua hata hayo maendeleo kidogo waliyo nayo yemeletwa na wageni. wao hawana kitu, muda wote wanawaza kucheza ngoma tu
ni juzi tu tumepitisha sheria ya kulinda ajira za wazawa dhidi ya wageni
arusha tour guide wa kenya wamepigwa marufuku
shule za mitaala ya kingereza zimepigwa marufuku kuajiri waalimu wa uganda, kenya ,zimbwabwe and co,
AJIRA ZOBAKI KUWA JAMBO LA WAZAWA
KWA SASA TUNAONA MADUKA YA KANDAMBILI YA WACHINA KKOO na watu tumeshaanza kujawa hasira na jambo hili
MUGABE aliwatimua wazungu, ameuwa uchumi wa zimbwabwe na sasa wazimbwabwe wamejazana sauzi huku watu wakimsifu mugabe kama shujaa