mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,194
- Thread starter
- #121
Mkuu Cape Town yote hakuna vurugu?
si nimesikia hadi cape town?
Cape Town hakuna vurugu mkuu...Cape Town wasouth weusi hawazidi 20% na kiasili watu weusi Cape Town sio mji wao ni wageni tu pale kuna Wazungu na Coloured ndio wengi na hizi fujo zinafanywa na wasouth weusi tu sio wa matabaka mengine wakianzisha fujo watadhibitiwa haraka mno