Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo South Africa hapa Hakukaliki

kaka bongo utapeweza tu mifursa kibao ni wewe tu ushindwe, ila wabongo mlioko south mmezid kujisahau we miaka kumi yote kama kwenu bora yetu sisi wa nchumbiji nikipata usd 1000 nusu naenda kujenga tz nyingine naongeza mradi huko
mwambiemamakoku kaanzakujenga

Dangoteajaanza cement 12500. akianzashida
 
Hizi vurugu zitasambaa miji yote mikubwa ya SA ni suala la muda tu.

So jiandaeni kabisa hata wale wa miji mingine.

Poleni sana aisee.
 
kaka bongo utapeweza tu mifursa kibao ni wewe tu ushindwe, ila wabongo mlioko south mmezid kujisahau we miaka kumi yote kama kwenu bora yetu sisi wa nchumbiji nikipata usd 1000 nusu naenda kujenga tz nyingine naongeza mradi huko

no mkuu nina nyumba bongo ipo kibada ila huku ndio biashara zangu zilipochanganya na mke wangu pia ni msouth africa na watoto pia na tabia za watu wa nchi hii sio rahisi kumshawishi kwenda kuhishi nje ya nchi yake tena nchi yenyewe ikiwa kama Tanzania...ndio maana nimeng'ang'ania ndani ya nchi hii ili wanangu wakue kue nirudi nao nyumbani siwezi kumuachia huyu mwanamke hawa sio waleaji wazuri
 
nashukuru kaka kwa pole yako ila kwa hali jinsi ilivyo hizi vurugu zinapewa sapoti na serikali yako maana Rais Zuma alipokuwa anaojiwa alichojibu ni kuwa wao kama serikali hawataki haamiaji haramu wasio na vibali its mean anaunga mkono wananchi wake kupiga wageni
 
J'burg niijuayo mimi kuna mobile court twenty four hours in almost part of the city. Na jiji hili lilivyo linazidi majiji mengi tu ya Ulaya (kwa uzuri na infrastructure). Police ni wa kumwaga,blacks, indians, whites etc kwa nini mleta mada asijisalimishe kwa hawa?
Nafikiri unyama unafanyika kwa wazamiaji.
 
no mkuu nina nyumba bongo ipo kibada ila huku ndio biashara zangu zilipochanganya na mke wangu pia ni msouth africa na watoto pia na tabia za watu wa nchi hii sio rahisi kumshawishi kwenda kuhishi nje ya nchi yake tena nchi yenyewe ikiwa kama Tanzania...ndio maana nimeng'ang'ania ndani ya nchi hii ili wanangu wakue kue nirudi nao nyumbani siwezi kumuachia huyu mwanamke hawa sio waleaji wazuri

Hivi huyo mkeo hana support yoyote ya wewe kutoka?
Unakaaje miaka 10 bila kufika kwenu?
 
mungu atakusaidia kamanda.vumilia tu kwani hayo yataisha.na watoto ni muhimu sana .kila la heri
 
kaka bongo utapeweza tu mifursa kibao ni wewe tu ushindwe, ila wabongo mlioko south mmezid kujisahau we miaka kumi yote kama kwenu bora yetu sisi wa nchumbiji nikipata usd 1000 nusu naenda kujenga tz nyingine naongeza mradi huko
Sio wabongo wa South tu kaka, wabongo wote tulioko nje ya nchi inatakiwa tusijisahau hata kama tuna mikwaju yao na uraia wa huko na familia pia, muhimu kujenga nyumbani hata kama ni kakibanda tu ka kufikia tusijipwelepwete kama huko ni kwetu...East West HOME is the Best!!!!
 
Fuata huu ushauri Mkuu anza na ubalozini uone watakusaidiaje kama hawana msaada basi jaribu polisi, uwe muangalifu Mkuu jamaa hawana simile. Kama hutajali ukifika salama Cape Town njoo ulifahamishe jamvi.

nadhani wazo la ubalozi ni zuri.
 
Hivi huyo mkeo hana support yoyote ya wewe kutoka?
Unakaaje miaka 10 bila kufika kwenu?

support ya mimi kutoka hapa nilipokwama!?
No mkuu nimefika kwetu mara kadhaa sio nchi ya mara 5 au 6 narudi mara kwa mara ninapopata nafasi ila maisha ya huku yanatufanya tuwe busy mno na kutafuta
 
no mkuu nina nyumba bongo ipo kibada ila huku ndio biashara zangu zilipochanganya na mke wangu pia ni msouth africa na watoto pia na tabia za watu wa nchi hii sio rahisi kumshawishi kwenda kuhishi nje ya nchi yake tena nchi yenyewe ikiwa kama Tanzania...ndio maana nimeng'ang'ania ndani ya nchi hii ili wanangu wakue kue nirudi nao nyumbani siwezi kumuachia huyu mwanamke hawa sio waleaji wazuri

dah pole sana ila kiukweli mnahali ngumu sana, inabid mfikirie mara mbili2. nyumban ni nyumban tu hata sisi tumenyanganywa sana usd na askari wa moz na hicho ndo kilichonistua, nilipotaka oa nilirud zangu bongo nikavuta kitu, inakua ni kazi ya kutuma pesa miradi inaendelea ila atleast mara moja kwa mwezi unamcheck baby. karibu bongo dili sasa ni misosi tu
 
J'burg niijuayo mimi kuna mobile court twenty four hours in almost part of the city. Na jiji hili lilivyo linazidi majiji mengi tu ya Ulaya (kwa uzuri na infrastructure). Police ni wa kumwaga,blacks, indians, whites etc kwa nini mleta mada asijisalimishe kwa hawa?
Nafikiri unyama unafanyika kwa wazamiaji.

upo sawasawa mno mkuu ila kama ungekuwepo ndani ya Joberg muda huu ungefikiria upya kuhusu hayo uyasemayo mkuu....wale jamaa wakikukuta njiani hawajali kama ni mzamiaji au una vibali halali zaidi ya kukushushia kipondo...Mimi nina ID ya kisouth lakini sithubutu kushuka na kwenda huko mitaani
 
nadhani zitakuwepo pia mkuu...nipo ndani tu sina taarifa nyingi za huko nje zaidi ya kusikia makelele na moshi wa matahiri yanayochomwa...ila fujo zilianzia pale Mtn tax rank na kusambaa mitaa yote hii

OK kuweni makini mkuu, kama vip bora mrudi home mjipange upya, kuna ndugu yangu yupo cosmo kesho atajaribu kwenda run, kucheck na SA air aviation, ili arudi home but nnawasiwasi sana. uwe unatupa up date mkuu.

Naskia wa tz hawaja umia sana kunaukweli kuhusu hii.
 
dah pole sana ila kiukweli mnahali ngumu sana, inabid mfikirie mara mbili2. nyumban ni nyumban tu hata sisi tumenyanganywa sana usd na askari wa moz na hicho ndo kilichonistua, nilipotaka oa nilirud zangu bongo nikavuta kitu, inakua ni kazi ya kutuma pesa miradi inaendelea ila atleast mara moja kwa mwezi unamcheck baby. karibu bongo dili sasa ni misosi tu

daaah ushauri wako ni mzuri mno mkuu ngoja ili lipite nione naufanyiaje kazi
 
Back
Top Bottom