Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

Rudi bongo huku kuna chama kipya cha ACT Wazalendo saiv ndo kinachokiki,karibu tukupe kadi ya uwanachama.
 
OK kuweni makini mkuu, kama vip bora mrudi home mjipange upya, kuna ndugu yangu yupo cosmo kesho atajaribu kwenda run, kucheck na SA air aviation, ili arudi home but nnawasiwasi sana. uwe unatupa up date mkuu.

Naskia wa tz hawaja umia sana kunaukweli kuhusu hii.

yeah ni kweli mkuu...kuna uhusiano mzuri mno kati ya wasouth na watanzania nadhani hiyo pia ni sababu
 
Sio wabongo wa South tu kaka, wabongo wote tulioko nje ya nchi inatakiwa tusijisahau hata kama tuna mikwaju yao na uraia wa huko na familia pia, muhimu kujenga nyumbani hata kama ni kakibanda tu ka kufikia tusijipwelepwete kama huko ni kwetu...East West HOME is the Best!!!!

sisi ni kam tumerongwa hata unaokuwa nao unakuta ni matanuzi tu hakumbuki kesho ni wachache sana ambao wanajiendeleza. kusema kweli mimi hata mke sikumpeleka nilimuacha ila kila mwisho wa mwezi badala ya kwenda bar kutumia usd 500 na mademu na machangu walioshindikana darlive mara mia nipande bus nikale bata tz na mara zote nikifika bongo nahisi hata hewa inapita vizur na viungo vina relax, nashindwa elewa hawa wanaokaa miaka nenda rud wanawezaje. hivi wewe uwe mkurya na kwenu umezoea kucommand halafu ukaoe mzulu au mshona mtawezana kweli. jaman wazulu wanapenda pombe na ngono sijapata ona ndo maaana mzaramo anasema sio waleaji
 
mkuu nimefanya nao kazi jamaa sio wafanya kazi kabisa kisa nchi yao...utakuta msouth anafanya kazi summer time tu ikifika winter hataki kusikia kuhusu kazi kabisa...ila wageni hatuchagui kazi ndio maana waajiri wanatupenda wao hapo ndio roho zinapowauma alafu kitu kingine mkuu siku hizi hapa south wageni wengi wana hela kushinda wasouth wenyewe wageni ndio wana maduka,mahoteli na mabaa ambayo wanaajiri hao hao wenye nchi sasa sijui roho zinawauma vp hapo

Duuh kipindi kama hiki hapo joz kuna baridi ya kutosha inabidi uwe na moyo kweli kweli kuamka asubui kwenda kazini.
 
kaka bongo utapeweza tu mifursa kibao ni wewe tu ushindwe, ila wabongo mlioko south mmezid kujisahau we miaka kumi yote kama kwenu bora yetu sisi wa nchumbiji nikipata usd 1000 nusu naenda kujenga tz nyingine naongeza mradi huko

Wazo zuri.Ni vizuri wakaanza tabia ya kuwekeza na nyumbani kwani ni moja ya njia ya ku-diversify investment na ku-manage risk.Nawashauri wangeanza hata kununua hisa kwenye kampuni zinazofanya vizuri Tanzania.Hii ingewasaidia sana na pia wawe na nyumba huku bongo.
Nchi za watu hazitabiriki ni vema kuishi kwa tahadhari.
 
Duuh kipindi kama hiki hapo joz kuna baridi ya kutosha inabidi uwe na moyo kweli kweli kuamka asubui kwenda kazini.

ukishasikia kabanda kakuru mfetu basi hapo hakuna kwenda kazidi ni kujiongeza mashuka tu mwilini
 
Wasauzi wana wachukia waafrika wenzao kwasababu wanachukua ajira zao za hovyo

Uvivu una wasumbua na ujinga kama hawajishughulishi wanataka wapateje mafanikio Dunia na nchi mbali mbali watu Wana chanhanyika
 
mkuu nikirudi bongo sijui nitakuja kuanzia wapi nina mwaka wa 10 sasa nipo huku...nina mke na watoto wawili

Wewe ni mweusi kama wao, wanajuaje u mgeni hadi wakuvamie mkuu? Black kill Black aibu ya karne. Pole sana kaka Mwenyenzi Mungu akushushie malaika wakulinde urudi bongo. Home is home hata kama unalala mtaroni
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

Poleni. Ugenini ndivyo kulivyo.mwejeji akikuchoka chokochoko haziishi
 
baki huko huko mkuu huku tz kura ya maoni imeharishwa na israel mtoa roho kahamia barabarani kila basi na malori anayataka yeye
 
S.A wamesahau walikotoka. Hawa hawa waafrica wenzao weusi ndo waliowasaidia kuwatoa gizani kwa makaburu leo hii ndo wamekuwa maadui
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

Afadhali ukae huko uuliwe na hao makaburu weusi huku ukifika tu unakufa kifo laini cha ajali ya gari
 
inabidi inanzishwe kampeni ya home is home. kwa maana kuna watz tumezid kuzamia nchi za wenzetu mpaka basi niliduwaa nilipotembeleaa kijiji kimoja nchumbiji cha ndani ambako hta gari ni canter tu ya afisa kilimo tu nikakutana na muha mwenzangu anamiaka saba na anamke na watoto shazi na wala hana wazo la kurud, na vibali hana. mpaka nikahis labda aliua akamua kujichimbia huko
 
Wewe ni mweusi kama wao, wanajuaje u mgeni hadi wakuvamie mkuu? Black kill Black aibu ya karne. Pole sana kaka Mwenyenzi Mungu akushushie malaika wakulinde urudi bongo. Home is home hata kama unalala mtaroni

mkuu wanajua kuna tofauti ipo mkuu....ni kama ukimuweka Mtanzania na mtu wa Rwanda au Burundi...utaiona tofauti kama sio kwenye lafudhi basi tabia na muonekano kwa ujumla
 
baki huko huko mkuu huku tz kura ya maoni imeharishwa na israel mtoa roho kahamia barabarani kila basi na malori anayataka yeye

halafu huyu ibilis haoni magari binafsi anataka ya wengi tu na wala hatak baiskeli yeye basi au gari za abiria
 
ole wao hao wa S.africa!!!!

mkishika mmoja uweni kwa mtindo wa ISIS
 
S.A wamesahau walikotoka. Hawa hawa waafrica wenzao weusi ndo waliowasaidia kuwatoa gizani kwa makaburu leo hii ndo wamekuwa maadui

hawa wengi hawajasoma hawaijui vema historia yao wanamuona mzungu mtu wa maana wakati aliwaua kama kuku
 
Wewe ni mweusi kama wao, wanajuaje u mgeni hadi wakuvamie mkuu? Black kill Black aibu ya karne. Pole sana kaka Mwenyenzi Mungu akushushie malaika wakulinde urudi bongo. Home is home hata kama unalala mtaroni

Mimi mwenyewe niko na swali kama lako wanajueje kama wewe ni mgeni mzaramo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom