Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=244410&stc=1&d=1429308876
Polisi wa mwisho ana furaha kwa kitendo kilichofanyika..
 
Attachments

  • Insta-image-10.jpg
    Insta-image-10.jpg
    54.9 KB · Views: 699
rudi tanzania watakuua hao, kwani inaonekana hata serikali yao imebaliki hayo mauaji
 
Wakipora kwenye supermarket ya mwafrika mwenzao...waafrika tunatatizo ubongoni
 
Attachments

  • 1429309821499.jpg
    1429309821499.jpg
    22.2 KB · Views: 662
  • 1429309836555.jpg
    1429309836555.jpg
    27.9 KB · Views: 602
  • 1429309849132.jpg
    1429309849132.jpg
    32.6 KB · Views: 599
  • 1429309868651.jpg
    1429309868651.jpg
    20.2 KB · Views: 594
  • 1429309879122.jpg
    1429309879122.jpg
    31.9 KB · Views: 567
Huku wazulu hawapo tuanze nao?

Nafikiri hili ndio suluhisho

Nchi zote za Africa zifukuze wazulu warudi kwao SA. Zuma naye ni mshenzi sana, anabariki ujinga wa raia wake, hawa jamaa wameanza kujiona wao ndio wao Africa
 
Pole sana, endelea kujifungia humohumo mpaka uhakikishe vurugu zimeisha hiyo ticket wala isikusumbue uhai wako kwa sasa ndicho cha muhimu. tatizo serikali ya Zuma nayo ni legelege hivi watu wanauwaje wenzao kama vile hakuna polisi.
Kwa kuwa Unafanya biashara huko fikiria mara mbili je wakivamia na kupora biashara yako si watakuwa wamekurudisha nyuma sana. Kama vipi vurugu zikiisha funga virago urudi nyumbani kuliko kuishi kwa mashaka huko South.
 
Kwa hiyo mnaongeleshwa kizuru au wanawafahamuje msio wa huko?
 
Ni wakati wa kumpa support abubakari shakeu huko Nigeria atukomeshee hawa vilaza wa south,wasiojua hata historia ya kupata Uhuru wa nchi yao.Ni hao waliotufanya hadi leo watanzania tuwe maskini kwa ajili ya kitu kinaitwa ukombozi kusini mwa Africa.
 
S.A wamesahau walikotoka. Hawa hawa waafrica wenzao weusi ndo waliowasaidia kuwatoa gizani kwa makaburu leo hii ndo wamekuwa maadui

kiherehere chetu ndio kimetuponza, bora tungewaacha makaburu waendelee kuwa.tahiri bila ganzi@@
 
watanzania walioko huko mrudi mjenge nchi yenu sio kuwafanya wenyeji mateja na kuwaachia ngeu, watz wengi majambaz kule nina list ya watu 15 waarifu uko
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya
go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

rudi 'kwako' uzaramoni ukawekeze ulizochuma huko mkuu, ukiwekeza tz uta create ajira na utakuwa umechangia kupunguza umaskini
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

mzaramo na sauzi afrika wapi na wapi? we kwenu msanga huko au kisiju! teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Huku nyumbani rudini...ila mjipange pia...maana grand master plan ya udini...propaganda za kitabaka na ugaidi zimeanza kutekelezwa...si ajabu miaka kadhaa ijayo...tanzania itakuwa na hali kama ya hapo SA....hasa ukizingatia watu weusi ni rahisi sana kuwamanipulate....wanafanya mambo kisha watagikiria baadae....njoo lakini....!!
 
nilifikiri unapanga kurudi bongo kumbe unakwenda cape town halafu unakusifia cape town utadhani haipo ndani ya South Africa. Kwa mtazamo kama huu wako mtakula kipondo na kuchinjwa sana. Maana unachukulia nchi ya watu kama yako. kauli ya PM ipo kazini WAPIGWE TU
 
Back
Top Bottom