Nipo South Africa hapa Hakukaliki

Nipo South Africa hapa Hakukaliki

ole wao hao wa S.africa!!!!

mkishika mmoja uweni kwa mtindo wa ISIS

wamewaua Wasomali kwa wingi mno nasubiri Al Shabab kama itawauma na kuamua kulipa kisasi kwao
 
mkuu wanajua kuna tofauti ipo mkuu....ni kama ukimuweka Mtanzania na mtu wa Rwanda au Burundi...utaiona tofauti kama sio kwenye lafudhi basi tabia na muonekano kwa ujumla

nilidhani bila lafudhi mnafanana tu kwa rangi. basi jitahidi uwakwepe hao wahuni hadi pawe shwari. ukiweza fanya maamuzi ya kurudi home na family yako. take care bro
 
inabidi inanzishwe kampeni ya home is home. kwa maana kuna watz tumezid kuzamia nchi za wenzetu mpaka basi niliduwaa nilipotembeleaa kijiji kimoja nchumbiji cha ndani ambako hta gari ni canter tu ya afisa kilimo tu nikakutana na muha mwenzangu anamiaka saba na anamke na watoto shazi na wala hana wazo la kurud, na vibali hana. mpaka nikahis labda aliua akamua kujichimbia huko

aiseee huyo aliua huyo
 
Rais Zuma alipokuwa anaojiwa alichojibu ni kuwa wao kama serikali hawataki haamiaji haramu wasio na vibali its mean anaunga mkono wananchi wake kupiga wageni

Mkuu.

Hakuna nchi yoyote duniani inataka wahamiaji haramu hata sisi bongo tumewatimua tatizo ni serikali kuwaachia raia wake wafanye wanayofanya.

Pole sana.
 
Bora ule ugali mlenda kwenye amani kuliko wali kuku/nyama kwenye vita - Afande Sele
 
Pole sana.... Waambie sisi Africa iko dugu moja hapana ua MTU...sisi iko saidia wao na Apartheid regime leo iko choka sisi kaa huko huku govt nachukua kodi ya business zetu.
Kama iko endelea na sisi Fanya kama wao na Mozambique iko furious na wao anza kimbizwa huko
 
Nipo Johannesburg,South Africa hapa mitaa ya Jeep street tumejifungia ndani toka saa 10 jioni wenye nchi yao wanapiga wageni,kuwaua na kuwachoma moto kama kuku.Wanapita mtaa kwa mtaa wakikuona mgeni hakuna kuuliza ni kipondo bila huruma.

Wanachoma matahiri barabarani na kuyachoma moto magari ya wageni wote kwenye nchi yao cha ajabu sasa wanaowapiga ni watu weusi wenzao na sio wazungu,wachina au waarabu mpaka unajiuliza hawa hawataki wageni au hawawataki wageni weusi.

Kesho natakiwa kurudi kwangu Cape Town maana nilikata ticket ya go & return hapa najiuliza nitaenda vipi uwanja wa ndege na kurudi kwangu Cape Town maana kule hakuna fujo za kijinga na kipuuzi kama hivi

Uhai wako kwanza!
 
Mi nimejifungia ndani hapa Cape Town, Hawa wasauz hawa noma

😂😂😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃👆👆👆👆👆👆👆👆
Umetisha mkuu!
Hivi kumbe hapo ulipo ni Cape Town!
 
​hali hiyo umepata hadi muda wa kupost JF.............pole mkuu, hakikisha umo ndani una vyakula ndugu
 
Pole mkuu.Najua jinsi ilivyo ngumu kuishi nchi za watu.You are always an outsider. Kinachoniuma zaidi mwafrika anayekaa south ananyanyasika kuliko anayeishi nchi za weupe .
Jiangalie vizuri huko usitoke nje mpaka pakiwa salama.
 
Mkuu sasa unakulaje humo ndani au ulifanya shopping ya wiki nzima?
 
Pole mkuu.Najua jinsi ilivyo ngumu kuishi nchi za watu.You are always an outsider. Kinachoniuma zaidi mwafrika anayekaa south ananyanyasika kuliko anayeishi nchi za weupe .
Jiangalie vizuri huko usitoke nje mpaka pakiwa salama.

nashukuru kwa ushauri mkuu...siwezi kuthubutu kutoka humu ndani maana yanasikika makelele jamaa wapo mtaa wa pili
 
Mkuu sasa unakulaje humo ndani au ulifanya shopping ya wiki nzima?

Yes mkuu uzuri wa hizi nchi zenye umeme wa uhakika watu huwa wananunua vyakula vingi na kuweka kwenye mafriji
 
Back
Top Bottom