Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,589
Antonio de Guzman katika ubora wako mwenyewe.Achana nao na ntakufundisha kila kitu mkuu
Mzee wa jangwani kama nakuona vilee
Antonio de Guzman katika ubora wako mwenyewe.Achana nao na ntakufundisha kila kitu mkuu
Ngumu kumesa shyeeAisee
Hahahaaa! Hebu fumba macho weyeee.It wasn't personal, imekuwa culture JF watu kupost post utumbo.
So hata genuine issues tunakurupuka na kuhisi ni wale wale.
I will be back for you.
Umeonaee!anajua kila kitu anacheza na akili zenu
promo at work mama wasiopenda used kashawakamataUuuwiii! Kama kuwa bikira ndio hivi mmmmhh
Sio kwa kujitangaza namna hii
Umeonaee!
bora umeulizaHivi wewe ni KE kweli?
Haaaa nataka nihakiki nisije kutana na bwawa emmyHahahaaa! Si keshasema bado anayo au humwamini?
mkuu fursa kama hizi ni muhimu kuzifatilia maana ni adimu kwenye kizazi cha sasa hiviAlafu hakunaga watu walaini kuwala kama mabikraAcha utani bana!!! Kutokujua jinsi ya kuitikia mitongozo ndo kukufanye uwe bikra mpaka leo??? wanaume wetu mbona hawaitaji essay, kumrembulia macho tu ni jibu tosha na kitu kinafunguliwa!!!
Sio watu wa mchezo mchezo na hawachezewi hata kidogo.promo at work mama wasiopenda used kashawakamata
HahahaaaHaaaa nataka nihakiki nisije kutana na bwawa emmy
Haaaa nataka nihakiki nisije kutana na bwawa emmy


kuliko sisi used eenhAlafu hakunaga watu walaini kuwala kama mabikra
hahahaha chezea majoka ya jfSio watu wa mchezo mchezo na hawachezewi hata kidogo.
Nyingine ni za maneno ya mdomoni tu![]()
![]()
![]()
mkuu fursa kama hizi ni muhimu kuzifatilia maana ni adimu kwenye kizazi cha sasa hivi![]()
Wote waomba kwenda Pmhahahaha chezea majoka ya jf
Being bright is about physics, Love is about biology but sex is nothing but chemistry. No reaction no sparks not worth it unless there are other benefits.Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.