Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,138
- 122,600
Unaguna nini sasa?
Unaguna nini sasa?
reasonable !!Unaguna nini sasa?
Umeonaeeereasonable !!
njoo kwangu nikutongoze uone kama hautaitkiaWakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Sio watu wa mchezo mchezo na hawachezewi hata kidogo.
promo at work mama wasiopenda used kashawakamata
Nipatie mimi hiyo kazi ya kuitoa.Haijapata wakuitoa mkuu
Acheni wivu nyie watoto wa kike, mwenzenu kashatutangazia kwamba haijatumika.
Ngoja nikaangalie account yangu inasoma ngapi nirudi na ID nyingine humu.
Ndo unitongoze sasa nijue kama kweli unaweza kuitoaAla ala usije ukasahau familia
Msaidie Shunie usigune
Haaaaa alafu wewe inaonekana una details nzuri zaidiHahahahaa! Unaweza ukashawishika na jinsi anavyojielezea nawe ukaona si mbaya kujitosa.
Za nini tenaa?Haaaaa alafu wewe inaonekana una details nzuri zaidi
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Za bikra fekecheZa nini tenaa?
Million 15 tu,Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
nipe ile hela kwanza baby ndiyo uendeyaan had leo hujapata... haiwezekani ngoja niruhusiwe na baby miss chagga nije nikupe mautundu!