Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Inaonekana ulishajenga picha ya mtongozo unaongoja,na atakaye patia kukutongoza kama unavyo waza ndiye atakae kutoa bikra
 
we dada noma ikichukua wanaume wote waliojileta unaela nyingi sana {nice biashara}
 
Aliyekwambia siku hizi tunatongoza nani? Watu tunapeana namba tu kwisha habari yake...coz huna jeuri ya kukataa lunch ya serena
 
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Upo maeneo gani nije nikutongoze coz Mimi nina PhD ya kujitetea kwa mamanze na bila shaka hautakawia ku-respond
 
Si unamuuliza kwanza anekitongoza "unanipenda? Kivip? akikujibu ukilidhika unamkubali! Bwana sawa nimekubali kua nawewe!
 
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Kama unahisi wanakosea ina maana we ni mtaalamu unajua inavyotakiwa,basi watongoze wewe hao wanaume!
 
Back
Top Bottom