Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
nimfundishe nn yy ana utoto gan kwan ukitongozwa lazima uwakubali wote achague anayeona kwake n sahihiMhnn nini? Embu mfundishe mwenzio jinsi ya kukubali banaa
nimfundishe nn yy ana utoto gan kwan ukitongozwa lazima uwakubali wote achague anayeona kwake n sahihiMhnn nini? Embu mfundishe mwenzio jinsi ya kukubali banaa
Wee nifungue pipi kwenye nailoni af nije kukuhadithiaeb zama pm halaf uje kuniambia

we nenda tu itajulikana ipo kwenye nailoni au ipo waziWee nifungue pipi kwenye nailoni af nije kukuhadithia![]()
ungekua na bikra usingeandika mada hii wewe tayari bwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
iyo itakua ya kule MatopeniUnazungumzia bikra ya wapi kwanza?
Muelekeze ashuke kule kwenye kitengo aelekezwe kwa mifano.
Hebu mwambie aje pande hii...
hahaH
iyo itakua ya kule Matopeni
anajua kila kitu anacheza na akili zenuMuelekeze ashuke kule kwenye kitengo aelekezwe kwa mifano.
Kwani mm mwanaume mpaka nitongozeKwanini usiwatongoze wewe wakutoe hiyo Bikra
Lete mistari ambayo umekutana nayo tukusaidie majbuWakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Uuuwiii! Kama kuwa bikira ndio hivi mmmmhh
Hahahaaa! Si keshasema bado anayo au humwamini?Cleopatra mpka leo iyo bikra haijatolewa mkuu?