Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Hivi jmn kutongoza kuna formula??? Mtoa Mada asituletee michosho hapa kama vipi awape tu tigo hao wanaomtongoza
 
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
We unataka utongozwe kiaje?

Mada na kichwa cha habari haviendani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom