Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Nipe namna nzuri ya kuitikia mitongozo

Biashara ni matangazo.... Mamluki ya fb haya.... Subiri wenyewe wanakuja
 
da avatar yako tu mie inaniacha hoi,huo mzigo uliopo kwenye sindiria unataka kuchana kabisa kasindiria
 
Cleopatra naomba unipe nafasi ya kupenyeza sentensi mbili tu masikioni mwako ili nipate fursa ya kuitoa hyo bikra.
 
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Ni hivii..wanaokutongoza hawana hela ndo maana huwez kuitika.
 
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.

Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.

Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Me nakupenda tyuu fanya ukubali Hamna jinsi Sasa Daa ntakosa amani ukinitolea Nje cleopatra2 ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom