hapo ndio ninapokukubaliKweli, maana ilibidi nirudi kucheki profile kuona nini ni nini, so kwa hizo posts nimejiridhisha kwamba anamaanisha.
Unless ametengeneza trend ili kuja na hii, kitu ambacho naamini hajafanya, she is real.
Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
hapo ndio ninapokukubali
kukumbushia post za nyumaKwa nini?
Kwani kuna bikra ngapi BAK?Bikra ipi unayoizungumzia hapa!? Kwani wewe unataka utongozwe vipi ili uone mtongozaji anajua kutongoza!?
Mwenzio anataka kuonja pipi, mshauri.mukongo acha nigune tu
Nisamehe, BTW nilikuwa bado sijacheki status yako.
Mume anahitaji!
Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha
Nimeamini ulichoandika ni kweli, so acha watu waendelee kutoa maoni yao, nitakuja kufunga mjadala, sorry kwa kukufikiria tofauti.

Kwani kuna bikra ngapi BAK?
Kama anataka nmtongoze kwanza then aseme wapi hajaelewa then tutaanza kushauriana hilo la bikra kwa kwel namuachia mwenyewe sitak kuwa Tomaso
Hujataja zote mbonaNyingi tu ya mkononi, masikioni, mdomoni etc
Hujataja zote mbona
eb zama pm halaf uje kuniambiaMwenzio anataka kuonja pipi, mshauri.
Kama mbele uko bikra sawa,hebu tupe uzoefu wako wa nyuma.Wakuu hbrn za kazi.
Kwanza nimshukuru Mh. Rais kwa kumuachia huru Ney Wa mitego.
Sasa niende kwenye mada, naomba mtaalum mmoja anifundishe kuitikia mitongozo toka kwa men. Nimekuwa kwenye wakati mgumu kuitikia mitongozo kitu kilichofanya kubaki bikra mpaka Leo.
Naona kama wanaonitongoza hawajui vile. kila anayenitongoza huwa nahisi amekosea.
Naomba wataalum mnisaidie namna nzuri ya kuitikia mitongozo.
Mhnn nini? Embu mfundishe mwenzio jinsi ya kukubali banaa
Si utaje tu iliyobaki..!!Hujataja zote mbona