Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,679
Achana nao na ntakufundisha kila kitu mkuuNgoja nifundishwe kwanza namna ya kuitikia mitongozo mkuu
Achana nao na ntakufundisha kila kitu mkuuNgoja nifundishwe kwanza namna ya kuitikia mitongozo mkuu
Msaidie mwenzio
nimeguna kwa ajili gani Raimundo
mukongo acha nigune tuMsaidie mwenzio
Nifundishe hapa hapa kwanzaAchana nao na ntakufundisha kila kitu mkuu
nimeguna kwa ajili gani Raimundo
Hapa atakufundisha miss chagaNifundishe hapa hapa kwanza
NamngojaHapa atakufundisha miss chaga
Ndipo ufahamu wako ulipoishia?Maisha yamekuwa magumu, watu wanakuja na mbinu ya kutangaza biashara.
yan tunakosa ata la kuongeaMaisha yamekuwa magumu, watu wanakuja na mbinu ya kutangaza biashara.
Mpe uzoefu wako
akili kichwani mwake mambo hayo sio ya kufundishanaMpe uzoefu wako
Mueleze namna nilivyokutongoza mpaka ukakubali
Ndipo ufahamu wako ulipoishia?
KaribuNisamehe, BTW nilikuwa bado sijacheki status yako.
Mume anahitaji!
Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha
Nimeamini ulichoandika ni kweli, so acha watu waendelee kutoa maoni yao, nitakuja kufunga mjadala, sorry kwa kukufikiria tofauti.
Karibu
hahahhaha kwenye kitengo chakoNisamehe, BTW nilikuwa bado sijacheki status yako.
Mume anahitaji!
Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha
Nimeamini ulichoandika ni kweli, so acha watu waendelee kutoa maoni yao, nitakuja kufunga mjadala, sorry kwa kukufikiria tofauti.
Muache aje tu shosthahahhaha kwenye kitengo chako
hahahhaha kwenye kitengo chako