GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 4,322
- 4,733
ATAKUWA ANAKUNYWA NYAGI JOMBI
ATAKUWA ANAKUNYWA NYAGI JOMBI
🤣🤣🤣Wohoooooo!Una uhakika upo Dar es Salaam?
Ndio hawa ☹️☹️View attachment 2640318
🤣🤣🤣Najikuta kucheka kwa sauti Leo🤣🤣🤣🤣🌝Nyie nyie wanaume ndio mlipambana kuwekaa sheriaa za 50/50 yaan anachokifanya mwanaume na mwanamke akifanyee sawaaa...
Uku tunakoelekeaa wao ndio watakuwa wanalipa mahari watuoe cc wanaume..
N swala la muda tu...
Wanawake wa siku hizi macho juu juu kama madalali wanatega muda wote nani ataingia 18..Peace be to you all,
Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa.
Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume, sauti nazo zimekua ngi ngi nga nga ule unyororo wa sauti za kike kwisha.
Nini chanzo cha haya yote. Yani wanawake wanazidi kua kama wanaume hata kwa tabia, sasa hivi ni kawaida kukuta mwanamke anapeleka mtungi (anakunywa pombe kali) konyagi kavu kavu wakati wote ni mashahidi zamani walikua wanakunywa soda.
siku hizi hata ukimsimamisha mwanamke umtongoze anakukata jicho kavu kama fundi saa, ile kuona kaaibu kuchuma vijani mwanamke akitongozwa hakuna tena, kwanza hata kutongoza hakuna ni kumuita unaelewana location imeisha hiyo.
Hata woga hawana tena, unakuta mwanamke anaangalia movie ya mazombie katoa macho tena anachomekea "hilo likubwa lao silipendi, waliue tu" zamani wanawake walikua waoga.
Nini chanzo cha mabadiliko haya ?
mrembo anatupa ishara yeye mechi zake anachezea guu la mavi kama messi
Huenda kwer ata make Hana mvuto huu upuuzi unaenda kuwa dondosha wanawake sasa kiitishwe kikao cha dharuraAcha upuuzi,Kwa hiyo mama yako Hana mvuto?au ndio unaeneza ushoga kiaina
Nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana naomba nisamehewe jamani Pisi Kali Khantwe....
🤣🤣🤣🤣🤣🥚Nisamehe mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana naomba nisamehewe jamani Pisi Kali Khantwe....
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huyu umkute anadandia gari la mnadani utamjua sasa
Kazi ipooo mkuu ...Najikuta kucheka kwa sauti Leo
🤣Huyu umkute anadandia gari la mnadani utamjua sasa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kuna maeneo umeyasahau kuyagusia mkuu.Peace be to you all,
Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa.
Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume, sauti nazo zimekua ngi ngi nga nga ule unyororo wa sauti za kike kwisha.
Nini chanzo cha haya yote. Yani wanawake wanazidi kua kama wanaume hata kwa tabia, sasa hivi ni kawaida kukuta mwanamke anapeleka mtungi (anakunywa pombe kali) konyagi kavu kavu wakati wote ni mashahidi zamani walikua wanakunywa soda.
siku hizi hata ukimsimamisha mwanamke umtongoze anakukata jicho kavu kama fundi saa, ile kuona kaaibu kuchuma vijani mwanamke akitongozwa hakuna tena, kwanza hata kutongoza hakuna ni kumuita unaelewana location imeisha hiyo.
Hata woga hawana tena, unakuta mwanamke anaangalia movie ya mazombie katoa macho tena anachomekea "hilo likubwa lao silipendi, waliue tu" zamani wanawake walikua waoga.
Nini chanzo cha mabadiliko haya ?
CHANZO ni Women Empowerment.Peace be to you all,

Mawazo yako tu hayo 😅😅mrembo anatupa ishara yeye mechi zake anachezea guu la mavi kama messi
niko MsasaniUko kyela nini mkuu?
/Peace be to you all,