Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 786
- 2,061
nikiangalia wanangu nnajiona kweli nishazeeka
Yeah, this hits hard 🎯 🎯.Nilipoanza kusalimiwa "shikamoo babu.
Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu
Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.
Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
Kula pombe bwashee , utu uzima dawa cha mlevi uliwa na mgemaNikikumbuka naingia fourth floor kesho kutwa nachoka na sijawowa bado
Inspirational mzee wa mitungi it's Friday cc min -me
Mdg wangu secretarybird Kuna hechia ivi
Mzee wa kanisa ni cheo sio umri,pole hata vyama vya kidini kama ukwata kule sekondari Wana wa wazee wa kanisa,wale ni wazee?Mzee, kuna siku nipo kanisani na familia, Mzee wa kanisa alikuwa amehama. Nikashangaa Pasta anatangaza kwamba mimi nafaa kuwa Mzee wa Kanisa nilifikirie jambo hilo. 😁
Nikajua hapa tayari.. 😁
Niliporudi maskani, nilijitazama sana kwenye kioo. Nikaangalia sana picha za zamani. Nilipoenda kumwambia Mshua, akanambia "Mwanangu uzee unapokuja, haupigi ngoma". 😁
Unajua sisi kina meku tunakula pombe mpk kaburini 😂 siachi aseehKula pombe bwashee , utu uzima dawa cha mlevi uliwa na mgema
Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.
Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.
Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?
Hiyo kitu sio yakuacha arawaUnajua sisi kina meku tunakula pombe mpk kaburini 😂 siachi aseeh
Kumtumikia Mungu ni kwa umri wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa usisubiri umekongoroka ndio umkumbuke muumba wakoNiwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu
Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.
Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
Mvi za kwenye mavuzi
Marhaba, karibu
Mdg wangu anapenda kusema jesusi nacheka kinoma 😂Jesus
Anachosema ni kweliKumtumikia Mungu ni kwa umri wote kuanzia mdogo mpaka mkubwa usisubiri umekongoroka ndio umkumbuke muumba wako