Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Mimi ni young forever, ishu inayonifanya nione nina umri mkubwa ni kwamba nina miaka 4 sijawahi kuvaa jeans . Nimepoteza interest kwenye vitu vingi ; kuanzia chakula mpaka show off . Nikienda town kununua suruali na T shirt kama nitanunua naweza nisivae ... Nina Tshirt mpya kama tano sijavaa hata moja , napenda kuvaa kanzu kuliko nguo yoyote ile .

Yaani kifupi hata kupiga picha naona ni ushamba , kushangaa maghorofa . Nikipata fresha na nikikosa fresh , kitu naogopa ni magonjwa tu ila kifo sijawahi kuogopa .. Vitu vingi nilivyozoea kufanya sina mzuka navyo , kila kitu naona kawaida , sipendi kelele wala kujichanganya na watu .

Sipendi kuona mtu anaonewa wala kupata tabu .
Young forever kivipi mzee wakati unaona mwenyewe hapo huo umri unakuacha
 
Pale napoona vibinti vidogo vya miaka 16 ninavyovitaka vinanipa Shikamoo..

Vinanikumbusha kuongeza juhudi sana umri umesogea
 
Niwakumbushe pia dalili nyingine wazee wenzangu

Pale unapojihisi mapenzi na mungu yameongezeka na unaanza kutamani kwenda kanisani zaidi.

Kwisha habari yako, umri umekutupa mkono
Hii ya kwenda kanisani mbona kama haihusiani
 
Trust me, kama mwanzo ulikuwa masuala ya kanisani hauyaelewi ila ghafla umeanza kuvutiwa na unahudhuria sana, mara sijui unahangaika na masuala ya kuomba au kuombewa TOBA kanisani

Usihangaike sana, ongeza juhudi umri ushaisha huoo
Kuna wazee wana mvii mpka sehemu nyeti na wala hawamuamini hata huyo Mungu
 
Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.

Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.

Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?
Responsibility
 
Mwamkie dada yako, huyo ni dada yako. Nae anaufurahia ujana wake maana yupo kwa ile peak😅😅hadi namkimbia maana hachoki!
IMG_8018.jpeg


Utakoma na bado utakimbia sana 😅
 
Back
Top Bottom