Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.

Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.

Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?
Muziki nilioupenda....kuja kupiga hesabu...lahaula!! ....mfano. Barua toka kwa mama.....au Mwanza ooh mwanzaa eeeeh Mwanza kuzuri ooohhh!
 
Nina rafiki yangu sote tuna 32, kila nikiwaongelea wadogo zetu wa miaka 25/6/7 nasemaga “wale watoto” mara kwa mara ananimbia we wale sio watoto 😂

Najiuliza imekuwaje nawaona watoto? nikagundua ni kwasababu mi najiona mkubwa sana 😅
 
Ha ha ha niliingia ofisi ya Tanesco wamama ofisi nzima wananiamkia huku wakiwasihi wafanyakazi wengine 'HEBU MSIKILIZENI BABA ANA SHIDA GANI' Yaani mimi nawaona pisi kali wao wananiona baba duh!

Mzee, kuna siku nipo kanisani na familia, Mzee wa kanisa alikuwa amehama. Nikashangaa Pasta anatangaza kwamba mimi nafaa kuwa Mzee wa Kanisa nilifikirie jambo hilo. 😁

Nikajua hapa tayari.. 😁
Niliporudi maskani, nilijitazama sana kwenye kioo. Nikaangalia sana picha za zamani. Nilipoenda kumwambia Mshua, akanambia "Mwanangu uzee unapokuja, haupigi ngoma". 😁
 
1. Nimepoteza interest na ngono, sio kama miaka fulani hapo kati.
2. Sipendi kelele, hasa muziki mkubwa, hata muziki mdogo ni kwa mda mfupi tu naboreka.
3. Baada ya kichwa kuanza weupe, kidevu kikaja, naona zivu linaanza..dah!!
 
Kuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.

Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.

Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?
Kupunguza miadi ya kula mbususu,pombe,starehe ajali,maumivu miguu,afya mbovu.
Unarudi church kumuimbia Mungu
 
Bado sijajiona mkubwa
20260416_210732.jpg
 
Nina rafiki yangu sote tuna 32, kila nikiwaongelea wadogo zetu wa miaka 25/6/7 nasemaga “wale watoto” mara kwa mara ananimbia we wale sio watoto 😂

Najiuliza imekuwaje nawaona watoto? nikagundua ni kwasababu mi najiona mkubwa sana 😅
Kwa age hiyo mamaaa Bado mdogo sana..,... Na usijibanie enjoy to the fullest.
 
Back
Top Bottom