The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,311
- 14,386
Ukiona kila kikao cha familia wanakunanga uoe basi ujue ushasogea!
Utasikia rafiki zako wote uliokuwa nao na kusoma nao, wameoa bado wewe.
Rafiki zako wote wana watoto bado wewe. š
Acha tu mkuu, Nikirud home wale wadada tulio soma nao Msingi/Sec washakua mishangazi watoto 3/4.
Hua nabaki kusikitika tu, any way na mm ngoja ni focus nioe š