Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,619
- 8,138
Ni jambo zito sawa ila haimaanishi ukikileta ndo unazeeka mkuuKwa sasa kuitwa Mzazi Ni jambo zito kwangu, Kuleta kiumbe Duniani sio Jambo la mchezo.
Ni jambo zito sawa ila haimaanishi ukikileta ndo unazeeka mkuuKwa sasa kuitwa Mzazi Ni jambo zito kwangu, Kuleta kiumbe Duniani sio Jambo la mchezo.
Niliambiwa nafaa kuwa supervisor wao 😅😅😅nikasema nimeishaKuna muda mtu unakuwa na mambo mengi hadi unasahau kama upo kwenye "Age go" unaongeza miaka ila ni kama unajiona bado mdogo tu mpaka ukutane na jambo fulani ndio unastuka kumbe umri wangu ushaenda hivyo.
Kuna wengine ongezeko la shikamoo ndio linawastua wengine kuitwa kwneye vikao vya ukoo nk.
Kipi kilikufanya ujue umri ushakutupa mkono?
Wakati sisi wanaume age ikikata stimu zinapungua kwa nyie ni tofautiNamshukuru Mungu sana!!!!! Kanipa ngozi natural umbo ambalo nikikwambia Niko kwenye menopause huwezi amini!!!!!!! English nyonyo!!!!
Kinachonishtua kuwa uzee huu hapa ni minyege aiseee hii hali sio poa.....
Khaaaaa!Ni wakati sahihi wa kuchepuka sasa. Mwambie asijibane bane.
Aliyezaa na miaka 17 hajawahi kuitwa mzazi, kwani kila mtu anajua ni ajali tu.Hahaha ko kuitwa tu mzazi ukaogopa? Kuna wale wanaozaa wakiwa na umri mdogo probably 17 yrs, ko hao wakiitwa wazazi watakuwa wamezeeka
Si ndio. Sasa yeye kazi si haiwezi?Khaaaaa!
Kwa shida na raha!Si ndio. Sasa yeye kazi si haiwezi?
Hamuachi, ila anajipa kitu roho inapenda. Akirudi nyumbani mwepesiiiii, ndoa inaendelea bila shida.Kwa shida na raha!