Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

Kuna kipindi Nilipata habari class mate wangu, aliekuaga rafka yangu primary alifiwa na mtoto wake na mke wake kwa nyakati mbili tofautu 🙄

Hapo mm bado sijaoa, Ndo nikashtuka huenda tumekua mpaka tushaanza kua wagane.

Ukiona kila kikao cha familia wanakunanga uoe basi ujue ushasogea!
Utasikia rafiki zako wote uliokuwa nao na kusoma nao, wameoa bado wewe.
Rafiki zako wote wana watoto bado wewe. 😁
 
Back
Top Bottom