Piga chini mapema, mwanamke asiyekusaidia katika harakati zako

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,474
40,474
Kama mpenzi wako wa kike hajawahi kukununulia kitu chochote chenye thamani, au kukulipia bili yoyote katika harakati zako za kimaisha, au kukusaidia katika mchango wowote katika majukumu yako ya kifamilia n.k; nakushauri, huyo piga chini mapema; huyo ni kausha damu.

Huwezi kuwa na mwanamke asiyeweza kukusaidia au kutatua changamoto unazopitia katika maisha, huku wewe ukipita mbele za watu kifua mbele ukimwita mpenzi au mke, huku ukiwa hunufaiki na chochote cha maana zaidi ya tendo tu.

Nakushauri piga chini mapema, huko uzeeni mambo ni magumu.​
 
Back
Top Bottom