Ni aibu kwa Serikali kwa Mashirika ya Umma karibu yote kupata hasara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,053
49,737
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

----
Ripoti ya mwaka wa fedha 2022/2023 imeeleza kuwa taasisi za umma zinazofanya biashara zimepata hasara.

Akikabidhi ripoti iliyokaguliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, siku ya Alhamisi asubuhi, CAG Charles Kichere alisema ofisi yake inaelewa juhudi za serikali za kuboresha utendaji wa taasisi zake zinazopata faida lakini alisisitiza kuwa dhana ya utawala bora inapaswa kufuatwa.

Kulingana na ripoti ya CAG, katika mwaka wa 2022/2023, ATCL ilipata hasara ya jumla ya bilioni 56.64/-, ikiongezeka kutoka bilioni 35.25/- iliyoripotiwa kipindi kama hicho.

Aidha, alitaja Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kama kampuni ya umma nyingine ambayo ilirekodi hasara ya milioni 894/- katika kipindi hicho hicho.

Hata hivyo, inaonekana kampuni ya mawasiliano imeboresha utendaji wake kwani hasara imepungua kwa asilimia 94 kutoka bilioni 19.32/- iliyoripotiwa katika kipindi kilichotangulia.

Aidha, Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliripoti hasara ya bilioni 100.70/-.

Zaidi ya hayo, ripoti ya CAG pia ilifunua kwamba Tanzania National Oil (TANOIL) ilipata hasara ya bilioni 76.56/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiongezeka kwa asilimia 68.72 ikilinganishwa na kipindi kama hicho.

Shirika la Posta Tanzania (TPC) lilipata hasara ya bilioni 1.34/- katika mwaka wa fedha wa 2022/23.
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

View: https://www.instagram.com/p/C5DmsOZITGI/?igsh=MXNvYmpmMTB0bWU2Yg==

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

Kula kwa UREFU WA KAMBA
 
Kwa modal ya ATCL haiwezi pata faida kamwe labda waumize watu.

Kwa ndege 14 walizo nazo ATCL ilitakiwa ipunguze bei na kuongeza miruko, wangeweka bei kama za Fastjet hakika ndege za Mwanza,Mbeya, KIA, Dodoma zingekuwa zinapishana.

Tatizo la haya mashirika ni kuwa mishahara ya wafanyakazi hulipwa na serikali, yangekuwa yanajitegemea kutokana na mapato yao hakika yangepunguza wafanyakazi na kupata faida.

Serikaliisiwalipie mishahara wajitegemee tuone kama watafanya upuuzi
 
Comred utabisha sana ila ifike mahali tukubaliane tu kuwa serikali kwa ujumla wake inatakiwa kufanyiwa overhaul kuanzia kwenye katiba. Kwamba anayefanya ubadhirifu kama kunyongwe anyongwe, bila hivyo ndio hivi sasa wanaCCM wanabadilishana tu namna ya kuipiga serikali.
Halafu shabiki kama wewe kazi yako inakuwa kukenua tu na kuzungusha kiuno huku wenzako wanakula mabilioni wewe unapewa elfu 20 ya maji.
 
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.

Huu upuuzi ukome,kama hawawezi pata faida badilini sheria Ili hayo Mashirika yawe Kwa Ajili ya Huduma Kwa Umma.

Ni aibu Kwa Mashirika karibu yote ya Umma kuingiza hasara
ATCL
TRC
Posta
Benki ya Uwekezaji nk
TanOil
Dart nk

View: https://www.instagram.com/p/C5DmsOZITGI/?igsh=MXNvYmpmMTB0bWU2Yg==

My Take
Viongozi oneni aibu na wahusika wawajibishwe

Niliposikia dude la TanOil nikajua tayari.
 
Kwa modal ya ATCL haiwezi pata faida kamwe labda waumize watu.

Kwa ndege 14 walizo nazo ATCL ilitakiwa ipunguze bei na kuongeza miruko, wangeweka bei kama za Fastjet hakika ndege za Mwanza,Mbeya, KIA, Dodoma zingekuwa zinapishana.

Tatizo la haya mashirika ni kuwa mishahara ya wafanyakazi hulipwa na serikali, yangekuwa yanajitegemea kutokana na mapato yao hakika yangepunguza wafanyakazi na kupata faida.

Serikaliisiwalipie mishahara wajitegemee tuone kama watafanya upuuzi
wapunguze bei hata kwa laki 2 mwanza ndege ingweza kwenda hata mara 4 kwa siku
 
Awamu dhaifu, faida inapatikana vipi?
Ni upigaji
safari zisizoisha
masifa ya kijinga
 
Back
Top Bottom