Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,904
- 10,384
Bongo bhana....Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
Actually ni Economics, Business studies and Religion..Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
Hii nchi tatizo mambo muhimu ya kufanywa na wataalamu wa Elimu wanaachiwa wanasiasa ndio maana wanakuja na mawazo ya hovyo hovyo tu!Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
Shida yenu mnakua na chuki za ndani, sasa hivi kuna Islamic Banking moja ya dokta zinazokua kwa kasi Duniani, kwa Tanzania PBZ, CRDB, KCB NA AMANA ZOTE ZINA VITENGO VYA ISLAMIC BANKING,Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati...
ATA Mimi nilifikiri kama wewe nikajua amefuta nimetafuta source nyingine nimekuta hipo hvo hvo hilivyowekwa aisee ajafuta kituActually ni Economics, Business studies and Religion..
Lakini naona umeamua kufuta/Christianity ili uonekane uko makini sana sio 🐒
Frame economicsKwa staili hii lazima nchi iendelee kuwa ya Frame, lazima tuwe na frame za kuchuuza products za China