Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Yeah mara moja moja kama hivi bwashee, leo nimemtumia mama yangu kipenzi siku ya kina mama mil 1 na laki 8 ya kulewa tu kwanini nisijipongeze na mimi pia?😀
Enjoy bro.
Mm niko mahome. Leo jumapili ni siku ya kukaa na familia na madogo.

Game ya barca na madrid ingekuwa mapema ndio ningetoka.
 
Back
Top Bottom