Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

Ninunue mimi wewe ukiwa wapi?
Simu kali inapandana na simu kali, picha yangu imefifia kizembe sana 😁😁 tuma kama hii nikupe mia😁
1778220619802.jpg
 
Nakuwa nimekupiga mimi au? Na hayo makebo niyabandike?
😁😁 kamwe zako ziwezi ziweka maisha , il nataka tu uchukie hiyo picha utume tena tuone unatumia simu gan seran wangu 😁
 
Huenda ukapishana na gari la mshahara

NB; walimu pesa bado tunazo karibu
Nyie waalimu mnaodanganywa mamikopo kibao mnabaki na take home laki 2? Unataka kunichumia dhambi ya bure tu😒
 
Nyie waalimu mnaodanganywa mamikopo kibao mnabaki na take home laki 2? Unataka kunichumia dhambi ya bure tu😒
Amna tukiungana tunakua mwili mmoja pesa tutatumia ata za kwako na urithi wako kutoka kwa mzee shayo
 
Back
Top Bottom