Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,017
- 97,712
Wazo zuri sana! Umeshaanza kufatilia hata? Ume survey eneo lolote lenye mzunguko?Kama ningekua na mtu wa pembeni wa kuamini zaidi nilikua nafikiria kutengeneza juice point ya kiana ivi
Wazo zuri sana! Umeshaanza kufatilia hata? Ume survey eneo lolote lenye mzunguko?Kama ningekua na mtu wa pembeni wa kuamini zaidi nilikua nafikiria kutengeneza juice point ya kiana ivi
Sehemu pekee niliona ni sirari ila sasa changamoto wakurya hawanywi juice labda waandikiwe na daktari au waue mwiziWazo zuri sana! Umeshaanza kufatilia hata? Ume survey eneo lolote lenye mzunguko?
Nilipata interest na M WEKEZA mwanzo riba yake ilikua nzuri ila kwasasa yani pesa unaweka nyingi ila faida ya kijinga sanaWazo zuri sana! Umeshaanza kufatilia hata? Ume survey eneo lolote lenye mzunguko?
Hama huko lol 😂 au nenda nyamongo!Sehemu pekee niliona ni sirari ila sasa changamoto wakurya hawanywi juice labda waandikiwe na daktari au waue mwizi
Hmm achana nayo tafuta kitu cha kuzungusha pesa zako ukiona zinakuletea faida unayotegemea!Nilipata interest na M WEKEZA mwanzo riba yake ilikua nzuri ila kwasasa yani pesa unaweka nyingi ila faida ya kijinga sana
Tatizo muda sasa huo kidogo afadhal sirari nakuaga na safari za pale mara moja moja kwa mweziHama huko lol 😂 au nenda nyamongo!
Soon nataka nianze kua dalali wa kuwakopesha vijana mahali tuHmm achana nayo tafuta kitu cha kuzungusha pesa zako ukiona zinakuletea faida unayotegemea!
Mkuu sasa hako kaugali robo utashiba kweli?Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
View attachment 3586376
Badili gear tu!Tatizo muda sasa huo kidogo afadhal sirari nakuaga na safari za pale mara moja moja kwa mwezi
Utageuka shirika la misaada hutoamini!Soon nataka nianze kua dalali wa kuwakopesha vijana mahali tu
Wakishindwa kulipa nageuka yule mwenyekiti wa arusha kisasi ni haki nikuwaweka tu wake zaoUtageuka shurika la misaada hutoamini!
Hahhaa watakukata kikojoleo🤭Wakishindwa kulipa nageuka yule mwenyekiti wa arusha kisasi ni haki nikuwaweka tu wake zao
Ha hazina hiii sema kuna jambo lilinishangaza mwezi jana tu hapaHahhaa watakukata kikojoleo🤭
Jambo lipi?Ha hazina hiii sema kuna jambo lilinishangaza mwezi jana tu hapa
AnabelliOya huyu jamaa alikuwa anajiitaje mwanzo? Nijuze tafadhali kabla sijam....
Ulitoa taarifa kwa wahusika na ikakaliwa kimya hii?Serikali inapinga sana ukeketaji kwa watoto wa kike ila nimeona watoto wakikeketwa tena mpaka inafanyika shughuli kubwa mziki ila sikuona action yoyote