Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,025
- 97,735
Mimi pesa natoa’api? Sijawahi miliki pesa baba mtu ongeza juhudi nije unilee😎Amna tukiungana tunakua mwili mmoja pesa tutatumia ata za kwako na urithi wako kutoka kwa mzee shayo
Mimi pesa natoa’api? Sijawahi miliki pesa baba mtu ongeza juhudi nije unilee😎Amna tukiungana tunakua mwili mmoja pesa tutatumia ata za kwako na urithi wako kutoka kwa mzee shayo
Ntawashangaza! Lazima niwafikishe duniani aisee!Fikiria yaan apo inaanzishwa website kabisa maana kwa hili wabongo tuko nyuma wakenya wanalinga sana
Sawa ntakushonea shati moja la mwenge wa uhuru ukakusanye michango kwa wakuuMimi pesa natoa’api? Sijawahi miliki pesa baba mtu ongeza juhudi nije unilee😎
Walichukua buku yangu mwaka jana bado inaniuma mazee!Sawa ntakushonea shati moja la mwenge wa uhuru ukakusanye michango kwa wakuu
Akija mheshimiwa PM apo sinza simamisha msafara yule hapendi wananchi mnyanyasike naamini atakurejeshea zaidiWalichukua buku yangu mwaka jana bado inaniuma mazee!
Lete idea ya title itaandikwa vp ili kuvutia kabla ya kutazamwaNitafanya surgery usiwaze😎
Hahhaa umeona eeh?Akija mheshimiwa PM apo sinza simamisha msafara yule hapendi wananchi mnyanyasike naamini atakurejeshea zaidi
Bado nafikiria!Lete idea ya title itaandikwa vp ili kuvutia kabla ya kutazamwa
Kesho siku ya kazi ila anaesema ualimu ni wito alizingua sanaHahhaa umeona eeh?
Kazi kwako injinia wa movieBado nafikiria!
Kwanini lakini🤣Kesho siku ya kazi ila anaesema ualimu ni wito alizingua sana
Acha tu mwanetu yani kuna muda naona kabisa pasina kuvunja amri na kutubu aseeh mwalimu kukata mnyororo wa umaskini katika familia itakua historiaKwanini lakini🤣
Mimi ualimu kwakweli niliukataa kitambo ni kama ka laana hivi🤔 sijui shida nini!Acha tu mwanetu yani kuna muda naona kabisa pasina kuvunja amri na kutubu aseeh mwalimu kukata mnyororo wa umaskini katika familia itakua historia
Nipe mbinu hasa ya kumake ata 5k per day iwe kama extraMimi ualimu kwakweli niliukataa kitambo ni kama ka laana hivi🤔 sijui shida nini!
Utafanya sangapi sasa si unakuwa kazini?Nipe mbinu hasa ya kumake ata 5k per day iwe kama extra
Wewe bhana mimi sio mwalimu ila kutokana na harakati za hapa na paleUtafanya sangapi sasa si unakuwa kazini?
Heeh🫢 tena unaukana ualimu jamani🤦🏽♀️Wewe bhana mimi sio mwalimu ila kutokana na harakati za hapa na pale
Kama ningekua na mtu wa pembeni wa kuamini zaidi nilikua nafikiria kutengeneza juice point ya kiana iviHeeh🫢 tena unaukana ualimu jamani🤦🏽♀️
Sawa harakati zipi ili nijue nakushauri upande gani!